@neoagriculturemachinery: SUNFLOWER OIL PRESS Hii ni machine inayokamua mafuta ya alizeti Inatumia umeme wa 3 phase Inakamua na kuchuja kabisa kwa kutumia filter zake Inakamua Lita 65 kwa saa Hizi ni machine kubwa inayotumika na wafanya biashara wakubwa mawasiliano 0693761024 #sunflower#flp #milionviews #viraltiktok