wangapi walikua washajua jibu la "tabia gani ungependa nibadilike "😂😂
2026-08-22 11:35:34
27
verosa14001 :
ngoja nikariri aya maswali nikaulize na mm😂
2026-08-23 08:04:32
9
Leah🥰🥰 :
unajua alipo uyo wa kujali unipelek 😩🤣
2026-08-22 16:15:40
10
IT'S SHARON🔐🎶💎♥️ :
me nilijiuliza maswal kama haya na nikajubiwa vizr sana yan in deep mno but now yupo huko na maisha yake nimebaki single
2026-08-22 09:56:40
10
Eyshaa :
😂Ningewaonesha na ushuhuda wa kiumbe wangu sema ye ukituma sms anapiga 😂🙌
2026-08-23 10:55:00
4
emma :
Napenda mwanamke anaenipa chalenge zamaisha kufikiri kwa ajili yake namaisha yetu yabadae ila sasa tatizo siwapatagii.umeuliza maswali mazuuri nimetamani mimi ndo ningekuwa nimeulizwa nijibu kwa ufasaha,mungu nikumbuke namm
2026-08-23 19:19:10
3
iris mhina :
jina la wimbo
2026-08-23 17:11:13
2
valentine val💜💜💜 :
wangu kuna siku niliomba pesa ya saloni akanijibu ety wewe unanipeanga pesa ya kunyoa 😳😳😳
2026-08-24 10:35:19
1
chagga girl :
we nimesoma zote 😂
2026-08-22 12:35:30
3
Mwasham Lenatus :
mim nimeuminza hadi sielewi
2026-08-23 07:08:57
1
pretty d 402 :
halafu kuna wangu ukimwambia mambo anakujibu "p " imagine unapatawap nguvu ya kuendelea na sms nyingine
2026-08-23 18:24:09
0
ZINAZO_TREND_MITANDAONI⛎ :
ukiona mwanamke/mwanaume anakuuliza haya bas anakupenda sana,ukimuacha trust me utapata mwingine atakae kupenda zaidi😂
2026-08-22 07:54:26
0
mysala💕🔐🩷 :
ngoja nikafanyee alf nitawaletea feedback 🤣🤣🤣
2026-08-22 10:26:50
2
Celine Bajutha :
nimesahau Jina lake, ila namwita bby💫
2026-08-23 18:05:40
1
shairy😍😍 :
Je kama ananisaliti😂
2026-08-22 21:07:58
1
julieg045 :
Bby wako ni wa kaskazin eeee😂😂
2026-08-22 11:29:25
2
Anny😇 :
Ngoja na mm nijaribu nawaletea feedback 😂
2026-08-22 14:01:39
0
Dee✨🎀 :
Is ur husband single 😂😂😂
2026-08-21 18:40:11
2
To see more videos from user @msare997, please go to the Tikwm
homepage.