@nyaelafunny1: #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fyppppppppppppppppppppppp #millionviews #funnytiktok

Denis Nyaela
Denis Nyaela
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 17:35:56 GMT
7845
308
29
30

Music

Download

Comments

mzinza85
Mzinza :
Oy umeupga mwingi hapo nimekulia uko uko😂😂😂🙏 raha san
2026-08-21 19:27:22
4
0692962897.daudi.e
0692962897 Daudi Emmanuel :
nakubar sana inanikubusha maisha ya ngu
2026-08-21 18:37:07
1
jeniphadaudi53
Jenipha🥰 :
ndomaisha yetu hayo tuloishi enzi hizo tukiwa shamba uko😂😂😂😂
2026-08-21 19:29:49
2
queenr8711
Cute 🥰 :
Da umenikumbsh mbl sitosagau 😂😂
2026-08-21 19:28:26
0
anord.rugarabam
anord rugarabam :
yaani mm nilimwagiwa maji ya kisa nimesinzia nikaanguka na kibatali kwenye ugali
2026-08-21 19:02:26
1
mesiachuwa
Mesia Chuwa :
hahahahahahahah
2026-08-21 21:46:05
0
tiffangote
Tiffa Ngote :
duuh ndo leo, sema stii neno!
2026-08-21 21:39:49
0
user2307034032510
K3 0310 :
maixha e2 aya kabixaaaa😀😀😀
2026-08-21 19:25:13
0
user6676819783090
[email protected] :
basi sio kofi maana
2026-08-21 21:32:53
0
mwanaidi.ramadani
Mwanaisha Ramadani :
Jaman atar 😂😂😂
2026-08-21 20:36:48
0
userzaituni1
zai :
duuh kwel kbs
2026-08-21 20:05:39
0
itsdeffy
DeffyG🤍 :
😂😂😂😂 nimekumbuka mbali sana
2026-08-21 20:18:21
0
pinnaemlilio
Aggy mlilo :
wakishuaa hawaezi elewa
2026-08-21 20:35:21
0
linah.samweli4
LINAH SAMWELI :
wakishua watupishee
2026-08-21 19:29:30
0
swai320
single man 🫣🫣 :
wakishua hawaelewi
2026-08-21 20:15:54
0
faidastanle
faida stanley 0616577606. :
noma sana
2026-08-21 19:28:36
0
user3840267248658
Aky :
me nilidondosha kakiroboi nikisinzia nkashtuka huku nikisema, kibo!!! mama alinitia mkofi na usingizi ulipotea gafla😂😂🤣
2026-08-21 20:09:39
0
pilato.mwadventis
pilato mwadventista :
mwe mnanikumbusha demetelia wangu
2026-08-21 18:59:44
0
tumainimatofali7
Tuma🥰🥰 :
😆😆😆😆😆 mungu atuweke tuna ushuhuda tunasubiri ukamilike tushuudie vizuri maana tulikotoka na tulipo ni muujiza tu🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-21 23:19:22
0
user4728015703362
ney Joseph :
huyo ni mm kabisa
2026-08-21 18:49:01
0
user7850740472481
Jd💕 :
😂😂 mmi huyo yan nikikumbuka nachekaga t, jmn kila ck nilikuwa napigwa makofi ya maana n naendelea n kaz yang y kushukilia koroboi
2026-08-21 19:17:28
0
salima.shaban56
salima shaban :
umenikumbusha ndo ulkuwa kazi yangu namlka mama anapka huku na sinzia akiivisha wanachukuwa koloboi mm najiraza pemben nakoloma wananiacha jikon Giza hakuna mrango nikishituka wao wako ndani wamekula nimepauka dah 🤣🫡
2026-08-21 20:41:29
0
david755368
David paschal @gmail.com :
na unaamshwa kwa kofi au kuunguzwa na mwiko
2026-08-21 20:15:22
0
To see more videos from user @nyaelafunny1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About