One of the most authentic Talents za Bongo. this guy hajawahi pelekwa na trend, anapiga ladha take mwenyewe na hizi funny lyrics zako mkuu. YOU ARE THE BEST. Keep Pushing Mkuu.👏👌🙌🙌🙌
2026-08-21 18:45:26
9
Its_Blacky_Pro :
Faza.. we noma🫡☠️
2026-08-21 20:25:46
0
Salma Amir :
lavalava
2026-08-22 06:17:30
0
Maby :
😂😂 sikuwezi kaka 🙌🏾🔥🔥
2026-08-21 20:50:02
3
Mimi_Ndio_AI :
micky utengwe baba unajua mpaka unakera 🙌🙌🙌
2026-08-21 18:18:39
11
Mkaliwenuoriginal :
Macky De Singer 🤣🤣🤣🔥🔥🔥
2026-08-21 21:08:07
0
Rio :
kak Unajua 🔥 mda wetu ndo huu hakun kupoa🔥🔥🔥
2026-08-21 20:13:22
3
dijahqueen1 :
Ila Mume sina mm
2026-08-21 19:47:34
1
Hashim Mpole :
kaka umepotea Sana nitafute sikupati Kwa sim
2026-08-22 11:24:33
2
Laizer Van Classic :
Alomuona mtoto kule nyuma akivunja mziki aje apa 🤣
2026-08-22 07:52:16
1
anody68 :
kak tulikubalian mwish heat song mbil kwa mwak imekuaj tena
2026-08-22 09:16:31
1
msaka noti officially :
bongo shida atusapoti vitu vikali kama ivi Wana tusapoti hi
2026-08-21 19:33:02
1
chite fabianoh :
pure Taleeeeeeeent..... !!!!!👌👌👌💯💯
2026-08-23 01:33:55
0
Nexiebeatz :
😁😁 Ngoma kali
2026-08-22 22:32:55
0
b7 :
ngoma haipatikani mzee tunaisaka ?
2026-08-22 20:39:58
0
I'm meek :
mbn anafanana na dotto
2026-08-22 13:52:43
0
MNYAMWEZI0️⃣4️⃣1️⃣ :
sipendi mm😜
2026-08-23 14:51:25
0
rammyfirestore :
Achia kazii hii maana nimeitafuta kona
2026-08-22 14:26:15
1
Afro Erma :
noma
2026-08-22 16:37:24
0
Creyd boy :
wow n nyimbo mzri saan has kwenye ilo beats n kali saan wow
2026-08-22 14:16:45
0
nillankado :
nimependa jinsi mlivyoficha zile namba kule ukutani unaweza dhani zile nguo pale juu ya kamba zimekaa kama uhalisia wa LOCATION ila kuna kitu kimekusudiwa
big up muongoza VIDEO
2026-08-23 06:28:37
0
To see more videos from user @micky_singer, please go to the Tikwm
homepage.