Kwani hawo ulowataja, kina bin baaz si ndiyo walo wakaribisha mazayouni ndani ya miji mitakatifu halafu hawo ulowataja wanasaport Abraham licolin mikataba halafu wakisaport mazayouni, halafu mtume hakuwa hivo matusi nani angemfuata?
2026-08-21 22:12:09
1
Sheikh Sharrif :
Mbona wataja mashekhe wa 20th century mbona hauwataji huko nyuma.
2026-08-22 04:05:42
0
Kassim Rashid Mohammed :
Sheikh Islamu bin Taimiyaa hakusema kuwa ni bidaa
2026-08-22 12:53:42
0
user4825449237774 :
ikiwa kunuti tuu munasema ni bidaa mutakubali ikhtilafu ya Maulid kweli
2026-08-22 14:09:39
0
Abuu Ratib :
Sheikh Yusuf Abdi Ana mitihani
2026-08-22 11:34:28
0
Solo :
Huyu mwimbaji naye ajuwaje??
2026-08-21 19:23:36
2
To see more videos from user @ahlulatharmedia, please go to the Tikwm
homepage.