@ogesa720:

Ogesa
Ogesa
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 18:16:53 GMT
41936
1457
116
142

Music

Download

Comments

engineer.mussa
Engineer mussa :
hapo hata ikitokea dhalula ya moto🔥🔥 itapatikana hasara kubwa mno.
2026-08-22 07:40:03
31
kindovenus.msuya
Kindovenus Msuya :
wale wa ndge na sgr sasa airport ulishaonaga ndge zimefungamana
2026-08-22 06:18:33
34
jackie_jack29
Jackie🤍 :
wanaoteseka ni sisi walalahoi huyo Chalamila akiwa na safari hapandi bas anachukua zake ndege... na kwa hali hiyo Ajali zitakuwa nyingi lazima wakimbizane wawai kufika...
2026-08-22 07:26:19
17
costaralexander6gmail.co
Costa Diego🛠 :
na hapo bado December
2026-08-21 21:14:44
9
shekhmansour1
mansour :
hapo sasa ligi zitarudi
2026-08-21 21:11:24
11
user4055792481588
Ma P👸 :
walijua ni machache km ndege au treni
2026-08-22 10:34:41
7
muba.mziguq
muba mziguq :
mbona kam tuna lud tupo toka jamani mim nahis kam tuli piga hatua ila sasa hiv nahis kam tuns ludi nyuma
2026-08-21 20:26:03
21
user7518681748816
janjarooo1 :
Kufidia muda watataka wakimbie....tunakwepa wapi ajali hapa daaa.
2026-08-22 04:13:07
12
danny.waziri4
danny :
hesabu zimegoma
2026-08-21 20:43:09
6
mohamed.mazrui5
Mohamed Mazrui :
bora abiria wachangishane wakodi noha kwamtindo huu
2026-08-22 03:48:01
4
jumo.harder
jumo harder :
wakti mwingine maamuzi yanatakiwa yawe na majibu positively uchumi unadorora kwa maamuzi ysiyo fikirika.tunaamini wanaume tumepewa uwezo na mwenyezi mungu kuona mbali.kwa stye hii uchumi unapanda au unashuka je hasara ni kwa nani ni sisi wote tunaoish nchini kwetu moja ya kupandisha uchumi ni kutokua na uchekeweshwaji wa mzunguko wa kifedha.kupitia tu hapo je ni mzunguko wa kiasi gani wa kifedha husimama?na hiyo foleni sio hapo tu hadi huko nje ukifanya tasmin kama mzunguko wa kifedha ulikua ni wa masaa 6 hiyo hali inafanya masaa ya mzunguko kupungua kwa masaa mawili.haya wale ambao walikua wanazungusha vituo vilivyofungwa napo pia mzunguko umepunguakwa asilimia 70.kuna mda maamuzi yasifanywe kwa mihemko washirikishwe watu wa uchumi pia.
2026-08-22 09:55:38
7
user2846785486912
aquino simon :
daaa iv hapo kaka moto ukianza kuwaka gar la Zima moto litapita wapi kunusulu mali za wananchi🥺🥺🥺
2026-08-23 03:32:06
1
richardmajige
HUDUMA YA PARAPANDA :
Safi sana mabasi yote yaje magufuri
2026-08-22 04:56:19
2
mabundeadamu
MBX Director :
shida viongoz wanaendesha kwa hisia na ushuri wa wake zao ona sasa unafika dar es salaam saa6 usiku kigambon unafika saangapi??
2026-08-22 14:51:24
2
yussuph01
yuzzo_ :
njia hakuna acha uwongo bro wanasubir muda wa kuruhusiwa kutoka kwa utaratibu.
2026-08-22 13:54:01
0
it_is_saint
ItsSaint🌚 :
Panavutia sana, inabidi tupate drone picture kali👏
2026-08-22 12:32:26
1
b_wise98
B_WISE98 :
Hii inapoteza mda, na italeta sana ajari barabarani sababu watu wataanza kutoka kwa speed na kushindana barabarani kama zamani. Mamlaka ziweke program nzuri kuzingatia mda wa kuingia na kutoka kusiwe na msongamano wa mabusi na waboreshe entrance and exit gates. Vinginevyo tunarudi 10yrs back 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2026-08-22 08:22:04
2
roseuisso611
mumy wa dee💕👈 :
mie wa basi la saa nne nikatoka saa sita
2026-08-22 12:55:18
1
gall.chase
Gall chase :
kwa hali hii kam nd unakuj Dar kwa mar y kwanz hakikish una mtu wa kukupokea Jmn
2026-08-22 02:47:03
4
richjr49
Rich jr🤑 :
wengi wanaosema ni sawa ni madereva bodabod, Bajaj na daladala
2026-08-22 07:52:01
2
dunstan.alexandri
Math Duns :
Njia zitakuwa zimefungwa
2026-08-22 08:30:33
1
pumeboy8
pumeboy8 :
asa hiii ni nn hii jmn
2026-08-22 06:34:55
0
shinotee14
SHINOTEE👑✌️ :
yani tumeludi zama za ligi basi zinatoka mda mmoja kwa wingi duu
2026-08-21 20:43:10
4
stamphord2
Justin stamphord :
mapema pameanza kuchangamka 🤣🤣🤣
2026-08-22 05:29:25
1
mtanganyika67
ME'YOU :
niseme ajali na vifo vingi vinakuja kama zamani tumeludi nyuma sana apo basi ya samoja inapita kibo tegeta saa 3
2026-08-22 03:10:30
3
To see more videos from user @ogesa720, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About