hawana shida hao wanapita njia yao waliozoea kama sikosei hapo ni mto wa mbu njia ya kuelekea tanapa, nishakutana nao kama mita 2 karibu na nilikuwa sijui lolote hamadi nasha gaa kivuli kikubwa, Mungu saidia askari wa gem alikuwa karibu akaniambia tulia tuli usiongee wala kupiga hatua yoyote
2026-08-23 14:08:04
2
Mariam Mchome :
ila kwetu ni pazuri sana unaona wanyama bila kulipia miss sana home
2026-08-23 11:40:36
2
Filbert Lusibo :
wapi hii
2026-08-23 12:19:06
1
love💖💖 :
wee kumbe hapa kuna tembo nikifikaga hapa najiachiaga uwiii🥹🥹🥹🥹
2026-08-23 13:35:21
1
mariam shaksi :
dur bajaji sjui imepotelea wap
2026-08-22 18:49:22
1
@yuzo@ :
home sweet home
2026-08-22 21:26:42
0
maasai explorer safaris :
Umeotea mkuu
2026-08-22 09:11:23
0
king jackson Leyeyo 🇹🇿🇰🇪 :
😂😂😂😂bajaji amebadilisha njia
2026-08-23 12:29:15
1
khadija :
nimepamiss sana jamani
2026-08-23 12:36:05
1
@nuriath-24 :
ni lini hiyo
2026-08-22 19:58:51
0
Son Of Moshi Town :
kituo ni hp mto mbu
2026-08-22 17:39:06
0
𝙂𝙚𝙣𝙚𝙧𝙖𝙡 𝙎𝙖𝙢 👑 :
Mtoni 🥰🔥🔥
2026-08-23 15:33:26
0
kelven♧♤maasai :
wanaenda kwao hapo juu
2026-08-22 12:04:17
0
Filbert Lusibo :
si mjini kabisa
2026-08-23 12:22:59
0
iam Eunice😘 :
ila harmonize 😁
2026-08-23 15:17:47
1
reginasipira :
Mto wa mbu road
2026-08-23 17:08:11
0
⚡️⚡️Official Heavy current⚡️⚡️ :
Kirurumo
2026-08-23 14:18:16
0
Mina Furaha :
mto wa mbu 🥰🥰
2026-08-23 19:49:04
0
Official 💫 Juliana ❤️ :
like manyara nation park jmn🥰
2026-08-23 09:01:26
0
To see more videos from user @kevan_175, please go to the Tikwm
homepage.