kitu msicho jua ile sio club ya wanachama ni ya mtu binafsi awezi kuwa na wanachama kama unataka kanunue hisa
2026-08-22 02:09:22
13
Lavie Montana 🇹🇿📍🇩🇰 :
Mzee apewe elimu kuna team za wanachama Kama yanga na simba kuna team za wamiliki binafsi Kama Azam na singida kuna team za manispaa Kama kmc kuna za miji Kama Dodomajiji na mbeya city team za taasisi Kama TRA au JKT team za makampuni Kama mtibwa sugar so azam sio team ya wanachama ni ya mtu binafsi itakuwa na mashabiki tu sio wanachama
2026-08-22 05:18:59
4
Achraf Hyena :
ile sio klabu ya wanachama
2026-08-21 21:14:02
3
medy :
Mzee kaongea point 👍👍👍
2026-08-21 20:44:32
6
mpemba halisi :
hawataki watu wasio jua mpira
2026-08-21 20:37:51
5
dilnasso :
wapambe wa ligi hawa
2026-08-21 19:41:55
3
INK_ :
ndicho kibachowakuta Simba baada ya Mo kuchukua timu🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 08:43:13
1
rama b20 :
next 2
2026-08-21 21:20:24
0
kiboko ya warembo :
we iyo timu ya bos na sio ya wanachama
2026-08-22 05:26:22
0
Maiko Mlegea :
Njoo Yanga mzee😂😂😂
2026-08-21 23:24:56
0
mustapha mpanda🇹🇿🇨🇩✅ :
bing Brain 🧠
2026-08-22 07:12:56
1
Major Kiddie :
Wanachama ili kesho muanze kumsumbua mwenye team?
2026-08-22 06:38:27
0
SADDY SR 🌹 :
Wana tangaza unga 😂😂😂
2026-08-21 21:17:54
0
Fa :
kwa umri ulio nao unapaswa kujuwa kuliko anayekuhoji kabla ya Azam ulikuwa timu Gani?