@simukitaa: SABABU ZINAZOFANYA WHATSAPP KUFUNGIWA… Mwanakitaa kama na wewe ni miongoni mwa watu walipata hili tatizo kufungiwa whatsApp. sikiliza video hii hadi mwisho ili kujuwa ni njia gani utafanya kujiepusha na tatizo hili na wewe lisikukute. Nawakumbusha tu sisi Bado tunaendelea Kupokea Order za iPhone 18 Kwa Wanaotaka kuwa wa Mwanzoni Kupata… Call/Whatsapp 0712858344 tunapatikana sinza Mori Karibu Opposite Na universal Executive Hotel #simukitaa #apple #iphone18 #whowillsurvive72hrs
Yangu nilishangaa naamk asbh naambiw account yang ime banned nikatuma requst review wakanijib kwamba nisubir ila mpk leo ipo banned
2026-08-21 20:12:23
4
Epicious_home_decorzanz :
Nimefungiwa
2026-08-23 13:15:16
4
Mekant Used Items✅ :
Mm walinionya Nikaona isiwe kesi Nikaiverify sahv napewa notice mara nying auto sms sabb pia
2026-08-22 20:16:14
2
DeLuxy Smartphones Arusha📲 :
Kutoka views 800k ad 130k sahv😅
2026-08-22 07:46:02
5
official Raphoni :
𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑏𝑖𝑓𝑢𝑛𝑔𝑖𝑎 𝑗𝑢𝑧𝑖 𝑎𝑝𝑎 𝑛𝑖𝑛𝑎𝑚𝑎𝑤𝑎𝑧𝑜 𝑠𝑎𝑛𝑎
2026-08-21 20:24:54
2
famousdefame :
🙆♂️
2026-08-22 06:27:26
2
♧ ℓαรƭყ รɱเℓε シ ♧ :
imeacha yenyewe ila nilikoma
2026-08-22 19:12:56
1
kimaro811 :
Nimefungiwa na sina hayo yote uliyosema
2026-08-21 23:42:35
3
SADOKIMEDICS :
nilisubiri mpaka ilikuja kukubali kufunguka
2026-08-21 20:19:06
1
_d7_ :
Ongelea na Instagram mkuu nimefungiwa account zangu 4 na kila nikifungua mpya baada ya dk tano wanazifungia tena
2026-08-22 06:20:18
2
𝗺𝗮𝗹𝗶𝗸𝗶𝗳𝗶𝘁𝘀 :
ASAIVI AWANISUMBUI WHATSAPP 😂
2026-08-22 21:58:05
1
Lady G 18 :
Nashindwa kualewa
2026-08-21 20:08:48
4
Hilolimus Soma :
simu kitaa
2026-08-21 19:28:41
1
Jeshiyanga :
mimi niliwahi fungiwa nilikuwa natumia whatsap Gb tena mala 2 ila ilikuwa sawa ndani ya sku 4 au hadi week
2026-08-22 04:36:14
2
sparkles ✨️ :
wafungiet me nasubiri challenge 😂😂
2026-08-21 20:20:44
2
OFFICIAL STAN_LEE :
Nishawazoea Jana account zangu 2 zimeend 😅🙌
2026-08-22 08:57:22
1
mashuka_collection_tz :
Imenitokea mara nyingi kweliiiiiii
2026-08-21 21:50:17
1
loddyistore1 :
Mm mmojawapo no mpya kunitafta kwa wakati mmoja na automatic reply
2026-08-22 08:42:04
1
mnyambis@Og :
situation😢
2026-08-21 21:03:15
1
peace_girl_22%🌸❤️🔥 :
challenge lin
2026-08-21 19:50:54
1
~QUE__daddie~ :
hii kwanguu imenikutaa kabisaaaa 🥺🥺 mpkaa now siwez kuwaa naa whatsap
2026-08-21 23:15:36
1
Jo~Thanks :
Login attempt nyingi kivip, weka bayana Hapo kidogo…
2026-08-21 20:32:40
2
D27 :
mimi nlipo washa hiyo tu wakanifungia😔 sikujua kua hiyo ndio sabàbu nlipo badilisha namba nlip fika hapo tu wakafunga tena basi nimepoteza wateja wengi🥹🥹
2026-08-21 21:15:54
1
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm
homepage.