@zombicute_:

Ms mwanya ❤️
Ms mwanya ❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 19:25:49 GMT
585310
49316
1038
1104

Music

Download

Comments

mungudereva7
MUNGU dereva :
mwambie na hela ya sreen protector na cover jipya
2026-08-22 04:40:23
996
irene.kabisae
Irene Kabisae :
Uzur baba siyo mbishi😅
2026-08-21 19:39:31
1239
vonmillez2
Vonmillez🇹🇿 :
Kiswahili cha wapi hiki. Eheee .
2026-08-21 20:38:57
515
fetty...ink
Fee🦋 :
Uyu Kama mume wangu yani wanae hata waombe nn pesa muda huo huo😂
2026-08-22 04:46:30
514
user6546183858837
[email protected] :
me nimependa eehee
2026-08-23 19:53:36
1
user7661257097728
sa :
khalfan Saleh new no 😳😳 content
2026-08-23 09:12:58
0
thuliya1234
thuliya1234 :
Kuna sie tuliokataliwa nababa zetu tuko tumboni😔
2026-08-21 21:00:51
296
hussein_khan98
Hussein_khan :
like father like daughter 😁😁😁
2026-08-23 08:02:51
0
offical.martha7
offical martha🥰🥰 :
kunamtu kasema hajaelewa jina nilivyoseviwa haya nmejtahd nikupambnie😂🤣😂😂😂
2026-08-22 06:13:27
100
regemwando
SilentSoul-254 :
iv skuli n wap 🥹
2026-08-22 06:25:53
0
ommymaster0
Ommy :
Which kind of Phone?
2026-08-23 09:24:23
0
sd.rmsy
sæëîd rämsēy :
mimi mwenyew nina katoto kangu ka kike kakisema tu nazitoa wala sipingi nakapenda saana 😂
2026-08-21 20:39:48
186
ammy74830
Hanping(汉平)🖤🔥 :
KakoCute baby mashallah🥰
2026-08-22 07:07:48
1
joanlamazo5
joan12 :
Uzulii wakina baba huwa wanaitikia kila kitu sawa hawajawahii kukataa mbele ya mtoto hatakama hana ataitikiaa sawa kwelii baba haishiwii
2026-08-21 21:05:51
178
aisherfaraj
Aisherfaraj :
sikupata haya mapenzi Kwa baba MUNGU awasamehe wanaume wote waliotelekeza watoto wao 😥😥
2026-08-21 20:51:06
732
salehekaswalula
kaswalulah :
kwanza alivyomsave nilijua ni attendence kumb ni simu😂😂😂
2026-08-22 04:59:54
59
connielucky8
Connie❣️ :
Hiyo ndo tabia yangu nikitaka ela kwa wakat😂
2026-08-22 10:10:11
7
set_username032
Teressa🦋 :
Mimi ningechonga na bint yangu ni laki 2 na nusu sio elf 2 miatano
2026-08-23 04:44:58
7
barakamtulia
Baraka Mtulia :
Inshallah Nkipata mtoto wa kike ntampa kile anachotaka
2026-08-22 07:39:52
8
morzha..15
Da morzha collection 🛍️ :
BABA ANGU MIMI ALIKUWA ANAITIKIA YOTE HAYO ILA SASA KUFANYA 🤣
2026-08-22 08:47:45
5
badboy._.3
𝐁𝐀𝐃 𝐁𝐎𝐘 🥀🖤 :
Kuita baba raha wallah, ila ndio hivyo wamutukataa wazee 😅🥺
2026-08-22 02:11:34
55
jane.kiyule
Mrs James😘❤️ :
😂😂😂jmniii ndo umsave khalifan salehe new no🤣🤣🤣
2026-08-21 20:28:58
145
aiem_asyah
🌸a.s.s.i.e🌺 :
hii ndo raha ya kuzaa na mwanaume anaejitambua😂😂
2026-08-22 07:15:11
24
legend_salem
NoLimitSaleem😅 :
YAANI HATA MIMI SIWEZI KUKUPA KAMA JINA TU UMENISAVE HADI KWA KIVUMISHI😂😂🔥🔥
2026-08-22 07:38:19
18
user9677466330589
mommy :
Mm nimejaribu kusoma Hilo jina aloseviwa baba😂😂😂limenishinda
2026-08-22 05:52:50
22
To see more videos from user @zombicute_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About