@ksk..luxury.coach: @SHASCO WANA MANI 📸 @DEMBELE26 @//HASSAN @husseinhr996 @Pacha--- sellah 🌟🌍 @the rocky jr @fani boy🤏😎 @hãx tz3✌️🤕💨... @TANGA HIGHWAY BUSES @WANAMAN GANG

KSK. LUXURY COACH
KSK. LUXURY COACH
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 19:45:32 GMT
131059
6118
215
116

Music

Download

Comments

annarichard29
Olpaah✌️ :
Hii nayo haina come back
2026-08-22 08:07:01
0
richardmajige
HUDUMA YA PARAPANDA :
wafate sheria stendi imejengwa ya nini??? acheni siasa bhana kila mahali sasaivi ni stendi wenye mabasi acheni zalau bhana fateni sheria shikirango ndo anako taka kwenda kila abilia????
2026-08-22 04:24:24
49
fidelis9960
fidelis :
ni sawa kabisa tulikuwa tunasaidiwa sana kufika katikati ya mji kwa nauli ileile
2026-08-22 04:56:14
23
happy.ngoya2
Happy Ngoya :
hiyo ni kauli ya dharau kama kiongozi huwezi ukaongea hivyo,tujitahidi kulinda viywa vyetu
2026-08-22 06:07:38
9
david.dmpchosen
DAVID( DMP)=CHOSEN ONE. :
huyoo mzee nanii point saaana
2026-08-22 04:03:05
8
shaibucakebox
shaibucakebox :
kelo mjini Ni marori sio mabasi
2026-08-22 14:57:57
6
hellenkifaru
Hellen Kifaru :
msifananishe uwanja wa ndege na stend za mabasi, wapandao ndege ni wachache, wengi wanapanda mabasi hapa tuangaliwe jamani.
2026-08-22 08:47:55
9
the.rocky.jr
the rocky jr :
linakuuma nn😂😂😂
2026-08-21 19:56:34
5
shangai.shemajeng
Shangai Shemajengo :
hapo wasafir tumeonewa sana maana ukishushwa mbezi unalazimika kutumia 3000 mpaka 10000 hamuoni kwamba badala ya kuwapunguzia wananchi mzigo mnawaongezea mzigo
2026-08-22 06:25:19
7
hiphopnext
Hiphopnext :
Huyo anazarau wasio na Mabasi.Miundombinu na Plan na serikali zisiongozwe na Siasa..Mbona ndege isije posta?
2026-08-22 07:24:58
2
allywaziry105
allywaziry105 :
chalamila ni kiongozi , anasimamia mkoa huu anatekeleza MAJUKUMU yake bila kujali ana bus au Hana ,kwahiyo wamiliki wa mabas wafate Sheria tu bila kuleta kelele,
2026-08-22 08:37:30
8
user7071832585
stella mongi :
haloo saaa
2026-08-23 14:48:29
1
myna77776
Mafly :
Watanzania wengi tunatumia basi .wenye uwezo wandege ni wachache na wanauwezo hivyo wanagari binafs na kwendea airport. tuache ushabiki hesabu wingi wa ndege na bas ndio utajua watiaji ni wangapi.
2026-08-22 14:36:35
4
bhachassan
Bhac hasnan :
hii serikar ya tanzania hakuna kitu walifanya kikanyooka sijawai kuona
2026-08-22 11:05:22
1
beatrice.kanyenge
beatrice kanyenge :
sisi abiria tunataka mwende mbezi, mbona ndege haziendi mbagala au shekilango. fateni sheria.
2026-08-22 16:21:55
5
diblo_master
Diblo Master :
Itabidi ndege nayo ije hadi shekilango
2026-08-22 05:18:16
0
kimarioagustino
Kimario Agustino :
achen maneno mengi mfuate sheria ndio ma ana stendi ipo
2026-08-22 19:59:14
0
kalungiluiza
Kalungi Luiza :
kwani kbla ya magufuti stendi mabasi yalikuwa yanaishia ubungo stendi apo ndio ulikuwa mwisho.Na ndivyo ilivyo magufuri stendi hapo ndio mwisho wa mabasi
2026-08-22 15:41:41
0
i9981013
Imani ayoub ramadhani :
nini maana ya stendi ya mabasi kama wanaona umhimu.wa abiria.mbona bei hawapunguzi ya kwenda mikoani.
2026-08-22 08:41:52
0
jb.frank2016
JOJO :
Kuwapeleka sioshida ukishampeleka rudi ka park stend kuu..sio kuleta jam mjini
2026-08-22 07:03:36
4
its.ge53
it's -Ge :
Jamn kutoka kigamboni chekaaaa uko ndani ndani mpaka mbezi mbona mabasi yatatuachaaa walllah
2026-08-22 13:29:23
2
kawembabyemba
sportshiyo :
tufuate sheria. stendi zimejengwa kwa kutumia Kodi zetu. waache na wenzako wa Bodaboda na mama ntilie wafanye biashara. Sheria zifuatwe
2026-08-22 17:02:59
4
pilirajabu362
PILI RAJABU :
Apo sasa🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 04:57:30
2
user2481356275748
Hello @Joshua 10 KV :
Kwakweeli Mungu awape hekima sana viongozi wawe na mawazo mapana zaidi kusaidia wananchi🥺
2026-08-22 08:02:38
0
krey324
krey324 :
nime penda ulivyo jibu😂😂😂
2026-08-22 07:24:42
2
To see more videos from user @ksk..luxury.coach, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About