@__chichileee: Mimi hawa jamani😂😂😂 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #trendingvideo #goviral #fyppppppppppppppppppppppp

CHICHI🌸
CHICHI🌸
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 19:45:42 GMT
34058
2433
106
145

Music

Download

Comments

hidaya.said465
Hidaya Said :
bors utupostie ambao hatuna dstv kipenz
2026-08-22 05:37:01
10
ratipha.dilunga
Mwana🎀 Dilunga :
jack inabidi askilizwe mana anamjua yule andunje😂😂😂😂
2026-08-21 22:29:13
32
sheisgee29
sheisgee :
Baba Nono cocomelon😂
2026-08-22 05:12:07
2
reginapaul35
regna :
nyie acheni kumuzungumzia kajala
2026-08-22 06:30:58
3
ms.lucy.mzungu
ms lucy mzungu :
Hizo nyota mnaangaliaje wenetu 😂😂😂
2026-08-22 05:29:54
3
user7570461886144
dijah gilayo :
yaani kajala nimim mtupu
2026-08-22 07:26:03
2
_yvonne._n
Yvonn3.N ~💜🦋 :
nataka rafiki kama irene 🤭😂
2026-08-22 03:17:45
16
bangtangirltz
Zakia Amran🤍 :
cancer ♋ Kuna mda tunakuwa kama wajinga🤣wadhaifu mno
2026-08-22 06:01:46
10
zuwena.mwishehe
Zuwena Mwishehe :
yaaaaanii mie namber moja
2026-08-22 07:34:30
1
mwajuma2865
mwajuma :
nawapenda mnooo
2026-08-22 07:11:33
2
fine.girl853
pee🌸🇹🇿 :
masikn kajala pole 😥😥😥💔
2026-08-22 07:08:27
4
zaituni1222
zaitunibaby :
hatakam unaumizwa kimapenz usiache kuwaambia ukwel marafik Zak kuhus mahusian au ndoa
2026-08-22 03:42:44
6
arafashion8
Baghawy :
Kwanza kipindi kizuri kina mafunzo. kwa mwenye akili. Pia Kajala anaonekana ni mtulivu mpole na heshima zake . Allah amsaidie ktk mahusiano yake ampe yule anaemstahiki. Pole sana Kajala.
2026-08-22 04:12:48
21
jovee4509
Miss~calton🤍🧚‍♂️ :
Uwoya namuelewa 😂😂😂 ifike mahali niamke asubuhi simtaki mtu jamani 😂😂😂😂
2026-08-22 06:38:24
4
tinapaul917
tinapaul91 :
nawapenda
2026-08-22 07:07:22
2
auntyray0
Aunty_rey :
nilichokuja kugundua kajala mpole sana ,pia anamaumivu makali sana moyoni mwake ,Mungu amsaidie tu ,,hamo asitake shetan ajinue kwa A list
2026-08-22 02:48:49
6
aiyahonly
Aiyahonly :
ila Irene kanyooka ataki ujinga😂😂😂
2026-08-22 02:22:07
5
ayla08216
ayla :
ila Mimi mbona ni Cancer ♋ ila Sina moyo kama wa K😂😂😂
2026-08-22 04:33:00
3
princessrinas
Rinas❤️😘 :
Sasa jack una ongea nn jmn hatusikii 😅😅😅😅
2026-08-22 06:09:35
2
nsajigwa20
nillam :
Ila CHICHI nakupenda unapost mwanzo adi mwisho sio nusu nusu ❤️🥰
2026-08-22 05:51:15
2
miss.j2676
miss j :
ila jack😂😂
2026-08-22 06:02:44
2
paolabizimana
paolabizimana :
Nazidi Kukupnda Irene uko rafiki muzuri san👌🏻
2026-08-22 06:31:57
2
anna.mimis
AnnMimis :
cancer mwenzangu kajala
2026-08-22 06:47:51
2
To see more videos from user @__chichileee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About