@musichabaritz: uende japo itaniuma Dear 💔. Follow @Loynizer Kaliuaboy kwaajili ya updates zaidi. #wasafitv #lovesong #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideo

MUSIC HABARI TZ
MUSIC HABARI TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 19:54:31 GMT
115758
9717
51
131

Music

Download

Comments

husseinkimuni
Call me Hussein :
More life 🥰🥰🥰
2026-09-04 14:26:54
0
eliajoseph00
Jackson :
kaka bola muwe munachana kilasiku ili 2pate nyimbo zuli
2026-09-01 17:01:53
6
evelinekavira43
Blavine d'or :
Harmonize napendaga nikiwaona wewe na kajala. Wabaya wasiwachonganishe Mungu awalinde ♥️
2026-08-27 18:26:16
4
vicentbahati575
Vicent Bahati :
nipenipenisiri yaomonaizi kwann kaimba uwombambo nimeupenda sana
2026-08-31 22:36:09
1
user5400859299061v
vennus :
jina la wimbo
2026-08-24 20:33:26
2
sylivia.monna
Sylivia Monna :
uzuri broo maumivu inakufanya uimbe zaidi
2026-09-03 05:10:11
1
official.sabrinah5
official sabrinah🌹🥰😍 :
utampat wif yetu mwingine usilie
2026-08-24 11:05:05
2
gamalielokonda815
Baba FM :
mapenzi ya umiza mwoyo
2026-08-27 15:21:07
1
sensitive8322
sensitive 🤩😘🏳loved one 🫡 :
nawapanda pamoja 🥰
2026-08-26 04:44:48
2
ramadhani_3500
rama b20 :
next
2026-08-30 11:11:38
1
user686129693212
mafaju :
ule hajapenda hajui.... penda utaelewA
2026-08-23 18:57:20
2
richardwilson270
Richard Wilson :
2liya mzee baba
2026-08-23 15:03:03
4
zakayomkingule309
Zakyumkingule89 :
mmmh jmb polee kipezi
2026-09-04 17:20:00
0
queen.latifa3852
Queen latifa :
mie naumia sana hebu msameheane .nawapendaga nikiwaona mkiwa pamoja .naomba mtulize mioyo yenu fanya mrudiane.
2026-09-03 21:42:48
0
abou.diayo
Amadou diallo :
armonía Tanzania bonita
2026-08-29 13:34:35
1
user5556321732597
juslin mumbere :
ulenjo wakotuuu
2026-08-22 16:01:12
1
leocadia283
leocadia :
turiatu na dada yangu kajara hakuna wingine nawapenda wote
2026-08-24 19:37:36
1
user9158326088293
Jen :
hapana uyo kajala nimkeo harmonaiz usiruhusu kuutesa moyo wako maana najua ndo furaha yako kwingine hupati furaha kabisa kwanza nimwanamke mpole sana mpe tuu heshima yake mungu awarudishi pendo lenu
2026-08-25 09:15:20
1
naomy.joseph5
Naomy Joseph :
so kweli nitapg dua mpaka ni hakikishe mnaludiaana
2026-09-04 19:50:58
0
gabrielwilliam581
Gabriel William :
2lia msanii wangu kumbuka ulipotoka kondee upoooooooo wanawake wapoo wengi xanaa
2026-09-02 00:59:13
1
mmoma43
ndo kwetu ndo hom :
Bora tyu akuache
2026-08-23 11:52:35
1
user4930258808400
Najma :
endeleen kuoendana hao wanawake wanao ongea usiluhus kuvunja penzance lako kataaa iyo loho ongeza upendo amo kajala
2026-08-26 07:56:30
1
bcb4704
BONJO MASTER @ tz :
2026-09-03 15:43:22
0
mkinga.og2
mkinga og :
jaman ACHA UONGO HINYIMBO YA LOYNIZE SIO YA HUYU MZEE
2026-09-02 18:11:50
0
bandu.batechi
Tonton baudelaire bandu :
Bomboclaaaaan
2026-09-02 14:17:12
0
To see more videos from user @musichabaritz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About