Everybody should be playing since we have no country right now
2026-08-22 07:36:22
3
@5.6.7.8 :
are police news reporters?!
eti police anajua Kuna goons Na anakwambia Kuna goons,
so tujichunge?
2026-08-22 03:37:47
1
The PRINCESS :
Aki this Man 😂 really 😳
2026-08-22 03:39:16
1
uncle tom :
this statement Iko sawa🙏🙏🙏
2026-08-21 20:27:44
2
murigijahman :
so police knew
2026-08-22 03:32:56
1
njugunamurunga752 :
Kwani KAZI yapolice nigani??
2026-08-22 06:49:37
7
new nyanza electricals 254 :
ata ruto pia anaskianga hizi vitu kweli?
2026-08-22 04:05:38
4
BUTERE LUNZA KWETU :
Walahi 2027 itakua mbaya
2026-08-22 03:08:58
1
lloco- :
Afadhali Oscar sudi😅
2026-08-22 06:59:26
3
robert :
yaani ukipatana na wakora hivo ndio utauliswa😂😂
2026-08-22 15:38:34
2
prince :
hakuna serekali hpa walai😳
2026-08-23 03:17:42
1
pironcy#tag :
huyu alitoka wapi☺️☺️
2026-08-22 21:44:45
1
Fridah Nyambura :
police kazi yake ni nn
2026-08-21 20:28:59
3
Ray Lavady KE 🇰🇪 :
Kwa Ivo goons wanakubalika Kwa katiba ya Kenya, imagine Ni CS anaongea ivi surely,,,we don't have government
2026-08-22 00:12:48
1
luwama :
haki mahari tumefika Kenya nibaya
2026-08-22 09:15:40
1
Jose gatindiki :
hii n Kenya yetu kweli
2026-08-22 09:50:50
1
atiii :
kwani kazi ya polisi ni kusema ama kutenda kwani polisi na serekali wameshindwa kulinda amani inaonekana wazi kuwa hii kazi ya huduma kwa wote imewashinda kabisa
2026-08-23 06:19:04
0
Josephine :
this level of foolishness have never been witnessed.. very incompetent kenya tuko mahali pambaya
2026-08-23 14:38:28
0
kevoh :
uyu jamaaa afai kuwa cs🥺🥺
2026-08-22 15:57:09
2
Danco :
iko shida...kama huyu ndiye cs interior...
2026-08-23 11:07:18
1
user79409515702287 :
na kama ni rahisi anaenda omabey atarudi pia?
2026-08-23 09:52:37
1
ManKariiru :
I would like to know how you will gather votes any time in future 😂😂😂😂
2026-08-22 05:26:19
1
To see more videos from user @johnny.drycon1, please go to the Tikwm
homepage.