@minobongo25: Mfanya Biashara donfeza_ anasema Tanzania nikama peponi, ni nchi nzuri zaidi hata ya Marekani, uingereza na UK na hii ndio mifano aliyotoa ili kuthibitisha ukweli wa maneno yake.
Tanzania 🇹🇿 ni pepo kwa viongoz walipo madarakan sio kwa wana nchii
2026-08-22 10:45:24
28
Kadiga Ali :
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaa
2026-08-23 10:12:59
0
shukuru94 :
mzee mimi nipo pamoja nawewe ni ukweli kabisa, bongo ni nzur mno
2026-08-22 07:09:55
46
Mr LG brand :
Huyu jamaa yupo fact san😁😁
2026-08-22 06:40:10
15
Alhaj Qassim :
ambao hawajatembea hawawezi kukuelewa sisi tulio nje tunaelewa kaka 😭😭😭😭😭😭😭😭.
2026-08-23 00:38:27
17
Edwin Mwamakula :
Mbona Chadema hawakomenti, kina Mange na Maria Sarungi na Heche
2026-08-21 23:32:51
9
mafeni :
true mzee
2026-08-22 05:54:41
0
G_Kanakamfumu :
Tz nchi nzur tatizo ni utawala tu 🙄
2026-08-22 18:16:16
7
Trace Stuttgart :
Kweli kabisaa,lakini tatizo ni mtaji mdogo,chapili TRA nuksi na la tatu wachawi wengi sana ,mpaka utoboe jitayarishe kupigana vita vingi sana
2026-08-22 03:30:59
8
stope :
watu wengi ni hawaoni hii neema kwakua hawajaenfa kokote wanaongea hovyo kuiponda Tanzania 🇹🇿
2026-08-22 11:21:12
6
Benard Boaz :
Zingatia neno pepo😃 na siyo peponi.
2026-08-22 13:03:51
9
user9138426674224 :
Hiyo Nakubar sana kaka Mwenyewe nimejione Tanzania nipepo hakika.
2026-08-22 08:22:24
0
Geoffrey msuguli :
Tanzania ni pazuri sana shida utawala mbovu
2026-08-23 11:13:17
1
WAHUBANI :
Upo sahihi kaka Tupo zetu uku shamba tunapiga kazi
2026-08-22 06:20:55
0
tahzuu :
tatizo ni viongozi. Tanzania sio nchi yakua maskini. Nchi ina barari, mito, maziwa, milima, weather haipo too extreme na tuna madini tofauti na imani ya nchi ipo. nchi inayo kila means yakuwa tajiri. BUT haina good leadership
2026-08-23 10:36:09
2
953538 :
sasa mbona serikali inaomba msaada kila wiki😁😂😂
2026-08-22 15:50:17
2
user616838287120 :
Ni kweli huyu kaka kaongea ukweli mimi ninaishi marekani ni big stress sanaa tz ni nchi nzuri sanaaaa nikija vacation sitaki hata kurudi kusema ukweli basi tuu ni kwa vile watoto wangu ni wazaliwa na huku ila hii nchi hapana hakuna kupumnzika hata kama tz
2026-08-23 09:07:26
0
frank philmon :
tatizo serikali haijaamua kuwezesha raia wake watupatie mitaji kulime kuna watu tunatamani kulima lakini tatizo mitaji
2026-08-21 23:26:54
2
hustling gang🏃 :
unajivunia bahari wakati hata bei ya mafuta mmzidiwa na nchi zisizo na bandari sema Tanzania Kuna mapepo siyo pepon
2026-08-22 20:00:44
1
hashim94 :
Ckupingi kaka, nipo uae huku joto ni 54°c, bila umeme unakufa huku, but tz hali ya hewa nzuri sana
2026-08-22 13:08:43
3
Lisa the cute 😍 :
Nakumbuka mwaka 2006 niliitwa na bibi yangu kijijini PEMBA aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-08-21 20:41:43
2
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm
homepage.