@mufas29: TikTok #viral #mapenzi # ukipata nafasi ya mtu anaye kupenda kweli usichezee jua siyo kila mtu amepata hiyo nafasi # love vibe fallow for more 🙏🏼

Love vibe 💖
Love vibe 💖
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 21:20:50 GMT
139935
3000
107
134

Music

Download

Comments

user6992540618752
Zoë bb dû cœur ❤️❤️❤️❤️ :
nilidhani niko mwenyewe kumbe tupo wengi
2026-09-23 13:41:24
17
user814603146151
Aggy🥰🥰 :
mungu anamakusudi yake ko mwache aendeee atakuj mtu sahih
2026-08-23 08:43:38
19
asinathjohn
assy :
tupo wengi😅😅
2026-10-12 11:08:55
1
gerevasjustin
Gerevas Justin :
Et kama wakuu kama niwewe unafanyaje apooo
2026-08-29 13:59:03
2
misspinalee
misspina lee :
inaumaga iyo bs 2
2026-08-22 00:39:01
2
oriva.kirisitofa
oriva kirisitofa :
jamn waliyoona mtu akijipendekeza
2026-10-08 18:43:49
2
itspapimabanana
PAPI MABANANA🍌🍌 :
daah hii ilikua Hali yangu wiki mbili zilizopita ndio ukaamua tu kusema tu kua hana hisia namimi Tena 🤣🤣🤣
2026-10-09 15:47:46
1
ahmadtwaha725
Bin Ahmad :
Hilo penzi lipo hatarini kutoeka
2026-10-02 20:46:05
1
luciahome829
Lucia :
huyo yupo Kam Mimi. ma na. mwanaume. wangu Yuko iv Huwa naumia. San
2026-08-30 12:46:54
3
khadijaah96
Khadijaah...🦋💞🔐 :
Uzuri Anaefosi penzi anajulikana
2026-10-11 14:27:37
2
angelsakilu
angelic :
ilikua zamani sio saiv
2026-08-22 06:39:15
3
user1386146051637
Mr.gene :
yaani siwezi rudia huu ujinga tena, yaani mtu namuongeresha vizur tu na namuita majina mazuri tu najitahidi kutupe essay afu anijibu short hivo siwezi tena kwakweli, yaan ukiona unajibiwa short hivyo ishia hapo hapo itakuja kukuumiza hapo baadae.
2026-09-07 21:07:43
6
happinesssaid1
HAPPINESS SAID :
hiyo Hali nilikuwa naipitia baada ya mwez mmoja nyuma lnauma sana nilimpenda mno Tonny lakn saiv anajileta Tena hiv naweza nikawekeza hisia Zang kwa mtu kama yeye Tena
2026-10-11 10:58:53
1
decencyalistidesh3
decencyalistides :
hakuna mapenzi apoo
2026-09-01 18:10:04
3
mercyclaurance
Mercy♥️♥️ :
mmmmh sijaenda na imeniumiza kweli ivi
2026-09-07 10:42:23
1
paty_tz2027
Patrick vierra27 :
iyo nambie ndo ingemaliza mahusiano yangu spenfagi dharau
2026-09-05 06:54:33
4
dukudukureview
dukuduku time :
me more imekaakinafki sana
2026-09-21 19:02:27
1
n.a7607
naya🥰 :
ningekuwa nishablock muda tu
2026-08-22 07:40:22
0
sheby9569
Sheby official tz 😳 :
😂ww pia unae wakukujibu test japo nusu kipande unajibiwa ila mm pia sina mwanang skucheki ataa kidg ndo mapenz
2026-08-23 23:57:49
4
jupiterorginal2
Finisher_de scar face :
Tatizo huwa linaanza na dharau ,moyo ukichoka majibu yake ndo hayo automatically shida ilianzia kwa huyo anaeandika paragraphs
2026-09-09 07:31:00
2
methuselahrobert2
Methuselah ROBERT :
anaye tak kwend muache aend ili anae taka kuja aje pole San lafik ang
2026-08-22 11:03:26
0
nelsonrobert280
Nelson Robert :
madhala ya wake za watu bila kumupata bikira sioi wake za watu
2026-09-15 02:33:54
1
saidisleman5
saidisleman5 :
mnapendan 😁😁😄😄😉😁
2026-10-13 08:09:30
0
abdulsharifukates0
BONGO TRENDING :
majibu ya "ok" sitoyasahau
2026-10-12 18:17:43
0
ericknuruel
£🇪🇸⚽️YAMAL :
inauma sana
2026-10-13 15:26:45
0
To see more videos from user @mufas29, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About