@bbcnewsswahili: Orodha ya mashahidi wanaotajwa na Tundu Lissu imewakumbusha wengi tukio la mwaka 2012, wakati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alipofika Mahakama ya Kisutu kama shahidi katika kesi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu. Mahalu alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, yakihusisha ununuzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Italia na madai ya taarifa za uongo kuhusu thamani ya jengo hilo. Profesa Mahalu alipomtaja Rais Mkapa kuwa mmoja wa mashahidi wake, wengi hawakutarajia kumuona mahakamani. Mwandishi wa BBC @Sammy na taarifa hii #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #siasa #tunduLissu #fyp

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 21:23:57 GMT
82491
4121
68
111

Music

Download

Comments

juma.565c
JUMA...... :
Sasa samia anajua hata sheria au mnataka kumtia aibu Rais wangu 😂
2026-08-21 21:58:40
29
hamisipaulo3558
juze :
saivi taarifa za mahakama Zina vibe kuliko zile za ikulu
2026-08-21 21:45:02
30
frolentinerutta1
Mr. RUTTA Jr🙏. :
hiii Dunia ina watu wanadhulumu maisha ya watu kwa tamaa za kidunia
2026-08-21 22:24:19
12
isa.lugome
Isa Lugome :
mkapa kumbe 2012 mkapa alikuwa raisi kilindi kile
2026-08-22 06:15:02
3
joowzey_themask
ØLÐ.ŠĈĤØØĹ.ĜŸM :
misconduct
2026-08-21 21:36:52
0
kassim.khalaid
Kassim Khalaid :
wamuachie tu uyo mzee plz
2026-08-21 22:11:23
7
abdulkarim.kalama
Abdulkarim kalama :
Du Tz tumepigwa mda mlefu Toka kwa mkapa mpk Leo watu wanongezea cha juu.
2026-08-22 08:17:05
1
ndaturu.itandala
Ndaturu Itandala :
Kwanini wasiende tuu??
2026-08-22 00:01:15
6
officialorcu477
official orcu🇹🇿 :
R.I.P prof mahalu&mkapa🥺
2026-08-22 04:10:37
4
tallnenga
Tall-nenga :
hot sitting 🔥
2026-08-21 21:32:43
0
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-22 05:08:02
3
christianikitomar
future boy 💯💯 :
haki huchelewa tuu lakin itatimia kwa wakati wake, haki hukaa juu haikaliwi juu,, Tuwe na subira Mungu yupo hai
2026-08-22 00:12:31
7
hepatosplenomegally
hepatosplenomegally :
swali langu la msingi kipindi mkapa anaenda mahakamani je alienda kuitetea serikali au alienda kumtumikia myu binafc???? kumbuka kua mkapa aliridhia hio thaman ya jengo na pia mujue kua ni mali ya serikali
2026-08-22 07:16:56
0
peterjonh1
[email protected] :
sasa lisu alitumwa na raisi
2026-08-22 07:31:22
0
nasra.yateri
Nasra Yateri :
Sasa km mkapa alikua raisi na alifika mahakamani samia anashindwaje nauliza tu jmn sina mwanasheria 🥺😁
2026-08-22 08:17:18
1
michaelbahame
The Blacklist10 :
mmh patam hapo 😂
2026-08-21 22:01:49
3
teddyshirima0
Teddy love ❤️ 😍. :
2026-08-22 09:36:45
0
bundalarajabu
Rajabu Bundala :
2012 hiyo
2026-08-21 23:34:08
2
mr.msusi_andrew
Saint Andrew dread🇹🇿 :
2026-08-21 21:48:17
1
giyaya05
ELON PROFILE :
BBC nawakubali sana
2026-08-22 07:21:35
0
mjuni902
humphreylukambing :
TOKA NPO NA MIAKA 17 nilikuwa napenda kusikiliza BBC ila nimegundua munatumika na watu wenye nia mbaya KWA MANENO MATENDO MUTAWAJUA WATU WANA NIA GANI RAISI SAMIA PIGA KAZI RAISI WETU MUNGU IBARIKI TANZANIA
2026-08-22 08:37:40
0
user72974907448310
user72974907448310 :
huu ndio uwajibikaji wenyewe siyo ubabaishaji
2026-08-22 09:23:04
0
shundiidrissa
shundiidrissa :
Huo ni uongo
2026-08-22 08:02:50
0
wander.tz
Wander Tz :
Hivi mm ndoo sielew au
2026-08-22 07:21:40
0
rachel.mbwambo0
Rachel Mbwambo :
napenda sana kusikiliza habar zako zinakuwa kweli na huwa unaongea kwa uhakika wa jambo kwa serious
2026-08-22 07:18:58
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

You mean oversized expensive clothes 2. * * Dark & neutral color: * * Black, navy, - ash, olive = auto firm - 3. * * Neat from the ends of the hair: * * Hair, - nails, clean shoes. Messy = authority drop - 4. * * Do not most accessories: * * 1 watch is enough - * #BadDay Edition * - If you want to post OOTD fitting again bad day but still authoritative: - '#BerwibawaDuluBadDayKemudian - #OutfitTegas #CleanLook" width="135" height="240">
You mean "authoritative guy outfit" for ngatasin_ bad day _ yes? ** Let it still look firm + confident even though again _ bad mood _, the key: simple, neat, and neutral color. Authoritative outfit = make people auto reluctant. # # #* 3 Formula Outfit Boy Anti Bad Day * * * 1. Smart Casual CEO Mode * * Make college, work, or hang out but still respected - * * Top: * * Plain oxford shirt navy, black, or white color. Roll up the sleeves a little. _ ** Subordinate: * * Chino pants / ankle pants khaki color, charcoal, or black. No torn. - ** Shoes: * * Loafers, chelsea boots, or clean white sneakers. - * * Extra: * * Leather / steel watch + sunglasses. * * * Vibes: * * * Calm but dominant. Bad day immediately stepped aside. * * 2. Minimalist Monochrome * * The easiest but the effect is strong - ** Top: * * Black crew neck / henley shirt fit on body, do not oversized - * * Bottom: * * Black material pants or black wash slim fit jeans - - * * Outer: * * Overshirt or chore jacket matching color - * * Shoes: * * Boots or full black sneakers * ** Vibes: * * * Mysterious, focused, not much drama. * * 3. Old Money Clean Look ** Expensive look without big logo - * * Tops: * * Neat polo shirt or earth tone linen shirt: olive, cream, mocca - * * Bottom: * * Pants material straight cut beige / off-white color - * * Shoes: * * White premium sneakers or penny loafers - ** Extra: * * Leather belt, smooth hair neat *** Vibes: * * * Adult, classy, bad day so don't dare to disturb. --- # # #* Authoritative Key Let Bad Day Lose: * 1. * * Fit is king: ** Clothes that fit on the body > oversized expensive clothes 2. * * Dark & neutral color: * * Black, navy, - ash, olive = auto firm - 3. * * Neat from the ends of the hair: * * Hair, - nails, clean shoes. Messy = authority drop - 4. * * Do not most accessories: * * 1 watch is enough - * #BadDay Edition * - If you want to post OOTD fitting again bad day but still authoritative: - '#BerwibawaDuluBadDayKemudian - #OutfitTegas #CleanLook

About