@rianboss254: 🏛️🇰🇪 WETANG'ULA: "IF WE WANT TO GO FAR, WE MUST WALK TOGETHER" “Mimi, mtoto wenu, niko nambari ya tatu katika Serikali. Alafu mtu anakuambia, ‘Toka tuende tutafute Serikali.’ Tukitaka kwenda mbali, lazima tutembee pamoja.” — Moses Wetang'ula #KenyaPolitics #MosesWetangula #Trending 🇰🇪