@iycsigntv: Nuruvazi kaelezea changamoto iliyomkuta kwenye train kuna watu walitaka kumvamia Muusika: Nuruvazi 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
jamaa liongo sana ww police hawawezi kukuacha liongo😳
2026-08-22 06:53:09
19
Funny Rabit :
Most of Kenyans speak English
2026-08-23 23:58:16
0
Give mbwilo🇹🇿 :
huyu ni nani?
2026-08-22 04:30:53
5
shedracklaizer52 :
pole san brother
2026-08-23 06:46:15
0
John Francis :
ndicho ulichokua unakitafuta brother..na hapo watakusumbua sn na mwisho wake utaleta uzuni kwa familia yako..nibora ukawa bize na harakat zako zakimaisha ukaachana na mishe za kisiasa ..
2026-08-22 04:57:42
14
The smile😁🇬🇧🇹🇿🇰🇪 :
kwann usiite police,,,,next time ita police..police
2026-08-21 22:59:40
9
Gifty boy :
bac wanakutafuta kuwa makini....san bro
2026-08-22 05:17:51
8
lilianimwangombora0 :
pole mungu akulinde
2026-08-22 01:08:48
8
🇹🇿 Kwanza :
Umejuaje kama wataongea na dereva wa treni?
2026-08-23 08:06:22
4
Aloyce Tony :
kwann uongee na mimi
sisi tupo Tanzania wew 🤣🤣🤣
2026-08-21 23:52:50
9
Modester Agai :
Kua makini Kipenz TUNAKUTEGEMEA SANA
2026-08-22 06:33:21
6
kamamaa💕 :
wangekumaliza kuwa makin tuko pamoja na weye tunakupenda
2026-08-22 02:47:54
5
belya :
ungeenda ili uone walitaka kufanya nn
2026-08-23 10:47:24
1
willy luvanda :
kacha ndio ilikuwa na sumu m sijaelewa mtoa taarifa
2026-08-22 04:02:52
4
witnes :
Kuna siku litakukuta jambo
2026-08-22 06:18:40
1
user284282095247 :
usichoke kaka taifa bila nyinyi atuwez kupita mwenye haki ataishi wala atakufa
2026-08-24 04:55:49
0
Kercym :
Mungu niepushie maisha ya hofu na mashaka na sababu za kufanya niishi maisha hayo
2026-08-21 23:48:50
9
neydaqueen😍 :
hebu acheni kucheza na serikali nchi ni muhimu kuliko mtu mmojammoja acheni kupambana na vitu msivyoviweza mkipotezwa Tanzania haitakuwa na hasara yoyote ila utaisababishia hasara familia Yako
2026-08-22 07:40:05
13
Maliki Ibrahim :
yana mwisho Aya bro
2026-08-22 07:46:25
4
Kim Salim :
nimwana alakati anaewatetea watanzania
2026-08-22 06:51:59
3
dawia30 :
mpakanimekufolo
2026-08-22 07:19:26
2
Jimy black :
usitaje kenya tena
2026-08-22 12:22:47
0
YESE :
daah pole kaka kaa makini huwend wakakutafut ten
2026-08-23 00:04:08
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.