@gwazae.health.sol: “Unataka kujikinga na pressure ya kupanda? Usisubiri pressure ipande ndipo uanze kuchukua hatua!” 🧂 1. PUNGUZA CHUMVI “Chumvi nyingi inaweza kuongeza shinikizo la damu. Punguza chumvi kwenye chakula na zingatia vyakula vyenye chumvi kidogo.” 🚶 2. FANYA MAZOEZI “Usikae muda wote bila kufanya shughuli za mwili. Tembea, fanya mazoezi au shughuli nyingine salama za mwili mara kwa mara.” 🥦 3. KULA KWA AFYA “Ongeza mboga na matunda kwenye mlo wako. Punguza vyakula vyenye chumvi nyingi na vyakula vilivyosindikwa sana.” 🧘 4. Dhibiti STRESS “Usiruhusu msongo wa mawazo utawale maisha yako. Pata muda wa kupumzika, lala vizuri na zungumza na mtu unayemwamini unapokuwa na mawazo mengi.” ❤️ 5. PIMA PRESSURE “Jambo muhimu zaidi: pima pressure yako mara kwa mara. Unaweza kuwa na pressure ya juu bila kuwa na dalili wazi.” #fyp #fyp #f #tanzaniantiktok🇹🇿 #pressure

Gwazae Health Solution
Gwazae Health Solution
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 03:47:40 GMT
1449
9
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @gwazae.health.sol, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About