Mwisho umekaribia Kila siku makanisa ya ovyo yanaibuka
2026-08-22 06:07:47
82
Neoh Jb :
me kuna mda hua nawasha data kbsa nachungulia dunian kunaendeleaje😁
2026-08-22 06:04:16
75
saida-masanja :
me siwezi kwenda kwenye hili kanisa siwezi kuadharilika hatakama nimtumishi wa mungu siwezi kabsia
2026-08-22 10:16:19
94
Scarlly :
yoooooih can never be me
2026-08-22 18:47:01
0
Fahad :
In 2026😂😂💔
2026-08-22 12:40:35
2
Evy bae 🥰🥰 :
mmmmmmh
2026-08-23 14:17:58
0
✨ being Zie❣️✨ :
ili tatizo la ajira litazid kutushangaza😂😂
2026-08-22 05:55:36
22
Glamour Girls Nightwear :
watu wengi hawewezi kumuelewa huyu pastor,
2026-08-22 12:04:29
7
duke sam :
mmh! hili kanisa liko wapi, ili hata njia yake tu nisiwe napita
2026-08-22 06:55:41
9
Jesca deus Wibilo :
kwani ndo amzalilishe hv jaman .wachungaji mnakosea muite mtu pembeni hyo ndo hekima . bhana
2026-08-22 13:59:00
6
naya🥰 :
sio sahihi kutumia simu kanisani ibada lazima iheshimiwe lkn huwezi nisema ivo mbele ya kanisa
2026-08-22 16:10:05
5
PHINItech :
Ndio kwanini tusimuhesimu uyu Mungu inachukua mda gani kukaa kanisani ukamuheshimi Mungu wako ata kidogo uyu mchungaji kafanya sawa kabisa. Atuwezi fika mahali tukashindwa kumuheshimu uyu Mungu wetu
2026-08-22 10:17:59
23
Edina mkwai :
nikitoka hapo kurudi tena haiwezekan 😂😂😂
2026-08-22 06:48:52
9
Fai G😍 :
😂😂😂😂hata mungu anashangaa kinachoendelea duniani
2026-08-22 06:46:13
5
daisyjohn929 :
mi ningeacha Hilo kabisa,jamani mtu mzima angemuonya pembeni tusione.amemuumiza sana.Wachungaji wanakwaza watumishi.Kanisani fimbo kweli.Mi najua mafundisho yanatuonya
2026-08-22 04:31:10
6
kidoa :
hili kanisa linapatikana wap nilikwepe
2026-08-22 05:54:01
15
To see more videos from user @axilgospelmedia, please go to the Tikwm
homepage.