@amkainuka: Ibilisi kwenye pango la hira: majibu kwa Baba Halima - 1 @shaaban_b.omar @B M @CHAKA WA MUSA @David kiwool PODCAST @Henry 🇰🇪🇮🇱 @Cityboy 😊 @ABEL SHILIWA @Bonnyche @Christian lio @Jefu🇰🇪 @Justine @Katoto ka Yesu @Kerenhappuch @Mwaka The Great @Stella 🇹🇿🤍 @timoo_001 @Veronica Pius538🇹🇿 @Young production TV

Amka
Amka
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 04:04:41 GMT
1619
143
30
29

Music

Download

Comments

petbag7
pet bag :
Very true bro.
2026-08-23 14:29:39
0
imanisaidi300
Imani Saidi :
huwezi kuuchalenj uislamu
2026-08-23 03:02:52
1
esterlove135
Katoto ka Yesu :
😂😂😂Utamfanya alie leo😂 baba halima
2026-08-22 05:16:20
3
bosko.j.shimikilo
BOSKO J SHIMIKILO :
Balikiwa sana kaka
2026-08-23 19:28:24
1
kingd89891
Daniel.Mayira :
Ila huna haja ya kumkejeli baba halima mpe facts inatosha maana najua unaelewa ni kwanini...
2026-08-23 12:59:20
1
david.kiwool
David kiwool PODCAST :
baba alima 😀😀
2026-08-22 04:53:18
1
missionaryalphagabriel09
PASTOR ALPHA GABRIEL PASCAL :
asante sana kabisa courage wewe nimshunguzi wa hatari na kukubali
2026-08-22 22:21:54
1
masoudnzowa3
masoud nzowa :
Sio kweli amekufunika bhn
2026-08-23 13:16:32
0
tales_by_shose
tales by shose :
wape ukweli!!
2026-08-22 17:16:28
0
raulabdala412
Raul :
bado munasema
2026-08-22 10:14:47
0
kingd89891
Daniel.Mayira :
Umeongea facts zakutosha tatizo liko wapi imeandikwa hata wakisikia hawataelewa hapo ndio mchezo ulipo. by the way good job kaka💪
2026-08-23 12:56:09
1
novo2727
Novo2727 :
Ngumu kumeza Mwalimu🚶
2026-08-23 04:06:28
0
issauchebe
Issa Uchebe :
ww uliza toa hoja youote tunasubili🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 17:54:04
0
user94369997601447
user94369997601447 :
njooo live unaongea sana
2026-08-23 20:07:31
0
nicephonne.bonifa
Nicephonne Boniface :
𝐌𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 Amka 𝐧𝐚𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨𝐳𝐢𝐝𝐢 𝐤𝐮𝐚𝐦𝐬𝐡𝐚 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐤𝐮𝐦𝐣𝐮𝐚 𝐘𝐞𝐬𝐮𝐤𝐫𝐢𝐬𝐭𝐨 𝐚𝐥𝐢𝐲𝐞 𝐡𝐚𝐢 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐤𝐮𝐤𝐢𝐣𝐮𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐞 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐛𝐮 𝐤𝐢𝐧𝐚𝐜𝐡𝐨𝐩𝐞𝐧𝐝𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐣𝐢𝐧𝐢 𝒚𝒂𝒂𝒏𝒊 𝒒𝒖𝒓𝒂𝒏.
2026-08-22 17:32:50
3
kasongo8485
Nassor L'amour :
uliza ujibiwe acha kuchamba umbea😂😂
2026-08-22 22:49:59
0
maalikhna.mohd
MAALIKHNA MOHD :
sema mtaalamu huna hoja hivi kuwa mtu hayupo wakati wa tukio ndio jambo liwe silo au litiliwe shaka basi tuanze na maneno ya paulo aliyaotowa miaka zaidi ya mia tatu baada kuondoka yesu angalau aisha alikuepo zama za mtume
2026-08-22 18:54:15
0
amkainuka
Amka :
@Baba Haleema
2026-08-22 07:18:50
2
damasjohn992
Ntagutuna :
😁😁😁😁
2026-08-22 18:23:06
0
joozfy
joozfy🇹🇿🇺🇸🇬🇧🇳🇿 :
😂😂😂
2026-08-22 05:26:31
0
amkainuka
Amka :
@Issa Uchebe
2026-08-22 09:08:18
0
raulabdala412
Raul :
😂😂😂😂
2026-08-22 10:14:56
0
To see more videos from user @amkainuka, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About