hajasema amezeeka kwa ubaya amemaanisha kazeeka kwa sababu tayar kaitwa bibi amara jaman mbna mnakuza mambo
2026-08-22 08:12:31
1
user8266234275521 :
kwani wao wameolewa
2026-08-24 06:54:16
0
MYNDOSA GABRIEL :
ukweli unaumaaaa😅
2026-08-25 08:16:10
0
Camila Elihuruma :
jamni muacheni kajala wawatu
2026-08-23 09:05:49
0
asiacizungu :
Namu penda kajala sana nahawa wawili wanapendana sana watuliye sasa wafanye kitu kwemana
2026-08-23 09:27:16
0
Ms Cara🥰🥰 :
kaeni naye pembeni mumshauri na sio kuweka mambo ya Kajala hadharani pia A list tafuteni mada ambayo ni general na sio kumzungumzia Kajala tu
2026-08-22 14:42:31
4
Mariam Suedi :
it doesn't matter the age
.its just the number if they love each other let them be
why sis Wafrika tunapenda kufatilia mambo yawatu?So what about the age people stop it
2026-08-22 20:27:04
0
vick :
Irene nirafiki wa kweli Kwa kajala
2026-08-23 07:51:14
0
user8414046048408 :
wewe irine ajakosea that's just how the truth sounds
2026-08-23 04:44:17
1
Ms Cara🥰🥰 :
Kajala usilie kabisa haya ni mambo ya kupita tu na omba mungu akupe hekima nabusara ili uchague kilicho sahihi
mungu asimame juu yako
2026-08-22 14:39:17
1
sandrakeza887 :
suite
2026-08-22 23:32:58
0
user7942579612107 :
👏👏
2026-08-22 13:28:57
0
To see more videos from user @salomonmusolwa65, please go to the Tikwm
homepage.