@thomas.j.k: Pale JNHPP ilipounganishwa kwenye Gridi ya Taifa ya Umeme. Leo, Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) vinazinduliwa rasmi, ikiwa ni hatua muhimu katika historia ya nishati na maendeleo ya Tanzania.
Hapo namwona Eng,, NEWTON LIVINGSTON Tossa boy, na St. Joseh University in Tanzania
2026-08-22 12:59:48
1
Yeba! :
Since independence Tanzania was only producing a total of 1900mw , the Mwl hydropower is adding 2100 mw making the country stable ever
2026-08-22 13:21:00
3
Benard :
Aliyeleta bwawa mwingine anayepewa sifa mwingine
2026-08-22 11:52:06
11
GASPER KISINZA :
MAGUFULI ALALE MAHALA PEMA PEPONI
2026-08-22 11:39:42
13
lwila oden :
mshushe unit
2026-08-22 18:41:40
0
tahmuliladen0 :
nataman magufuri angekuwepo
2026-08-22 12:40:27
6
01_01_PROSPERITY :
MAMA SAMIA WAPI MNAZINDUA VILIVYO ZINDULIWAGA TAYARI HESHIMA KWA JOHN POMBE MAGUFULI
2026-08-22 13:23:26
10
AM2KAZI :
Bei Ya umeme mbona Haishuki sasa??
2026-08-22 12:34:16
5
Salim_Ally :
sio tz subir upite mwezi tu utasikia maji hamna
2026-08-22 13:14:05
3
BABA ANNA² :
punguzeni na bei sasa mtuuzie 1unite kwa 100tsh
2026-08-22 10:48:29
4
Mr. :
Tuliambiwa umeme wa nguvu ya maji garama yake kwa mtumiaji ni ya chini. tunasubiri nafuu ya garama kwa kila unit moja.
2026-08-22 10:06:30
2
Bin Faraji :
kwa hiyo kile kilio cha umeme kukatika kwa mara kwa mara tusahau?
2026-08-22 14:33:01
1
Mr_G_•°• :
a few moments later 😂
2026-08-22 17:07:13
0
Adamkombo1 :
wallah mama samia rais coyote w Tanzania anae kuweza
2026-08-22 12:07:16
2
mwakalu bunju :
mbagara rang3 Amna umeme tangu Asubuh kunguru kalipua transformer
2026-08-22 13:07:07
2
vee 🦋 :
km sio ENGINEER huwez kuelewa hyo feeling ya project kukamilika! hingereni sana wataalamu wetu
2026-08-22 13:52:09
2
Shemand& 6🥰 :
Kazi ya magufuliii imekamilikaa
2026-08-22 12:18:27
3
zacknation.com3 :
mbn bei ya luku haishuki mnatuambia tu umeme wa uhakika na bad tunakatwa kila mwsh wa mwez hyo pesa inaenda wap ya makat na bad tunanunua huo.huo umeme nothing.....
2026-08-22 11:44:14
2
fezzgydasantos :
asante Mama kwel upo kazinii
2026-08-22 13:04:17
2
Don :
SHIDA SIO UMEME MUONGEZE IDADI YA UNITS ZA UMEME wa 5000 zifike ata units 50 wanachi waache kutumia mkaa na gesi sio mnasifia ty afu umeme mnatupiga kwenye manunuzi
2026-08-22 12:18:40
2
ÑULAIFI MTØI✔ :
kwaiyo kuanzia sasa umeme hakutk
2026-08-22 19:35:14
0
user9097684609743 :
ASANT
2026-08-22 18:44:40
0
user9097684609743 :
ASANTE MAMA
2026-08-22 18:44:22
0
Noreen_06 :
mmmh tupo apa
2026-08-22 21:27:10
0
To see more videos from user @thomas.j.k, please go to the Tikwm
homepage.