hao nane walikuwa ndugu kwahyo je? walikuwa rang tofauti au maana china filipno africa ni rang tofaut sana
2026-08-22 13:23:48
6
Harry mao :
je kipindi iko ulaya America kulikua hamna mtu je watu walikua tu middle east kwa kina nuh
2026-08-23 04:39:40
2
user383136562037 :
Kwa maana hii Mungu anampenda sana shetani kuliko wanadamu, haiwezekani huyu mungu auwe watu wote kwa kutenda dhambi ila anamuacha shetani anae washawishi watu kutenda dhambi, hii imekaaje?
2026-08-22 18:54:43
5
foudreshimba :
luvunu uuuuuuuh
2026-08-22 20:40:20
1
user5317801797005 :
tuna subiriya sana vraiment
2026-08-22 14:00:06
2
EMERY OMBENI NDAGANDA.com :
NUHU ni nu Afrika ama Muzungu
2026-08-22 21:31:29
2
Benjamin Kalonzo 🧑 official :
kweli
2026-08-22 17:54:49
2
Mrs Bazirako :
good
2026-08-22 09:00:02
2
heri :
pia Nimrodi ndiye mwanaume wa kwanza kujitwaliya wake wawili na alikuwa mpiga mziki
2026-08-23 04:19:32
1
Josué Ngenge :
kwenyekitabu gani kwa bibiliya ?
2026-08-22 19:45:40
1
Gang Burundi :
kwanza mbona wakina elon musk wanapanda juu sana?
2026-08-22 14:37:12
1
poly :
kwahiyo inamaana Mungu wa biblia ni muuaji maana aliuwa watoto na binadamu wa sio na hatia kwa gharika au upande huo hatutakiwi kuhoji
2026-08-22 13:22:04
1
sabitimutiki :
leta sehemu ya pili kk
2026-08-22 18:31:10
1
John boy Simba :
mzee anaongeya ukweli hâta yesu mwenyewe alikuwa mwafrika
2026-08-22 13:47:46
2
amunazo :
Towa historia yote. apana bipande, mimi sijatosheka tafadhali
2026-08-23 00:06:40
1
Blavine d'or :
Weusi walizaa rangi zote hizi😳😳Ni hatari kabisa
2026-08-22 16:12:43
4
MASTER PEACE :
lete matirio mkuu
2026-08-22 13:30:14
1
SENSICALCHURCH :
Wakanani siyo Wapalestina
2026-08-22 08:49:50
2
dicksonsteven135 :
misiri inayozungumzwa sio hii ya kiarabu
2026-08-22 15:07:45
1
To see more videos from user @mukengerekayenga01, please go to the Tikwm
homepage.