ICHO NDO TUNACHO TAKA KUKISKIA KUTOKA KWAKO KINATA SIO KULALAMIKA 😁
2026-08-22 06:58:02
3
robertkazala :
nduguyang mwenyew mkali weweee 😁
2026-08-22 23:07:51
1
Trevi Quan :
😂😂😂🔥🔥ila kinata mc banaa hio itinaaaaaaaaaiii umetisha 🙌
2026-08-22 23:26:31
1
Bongo movies🔥 :
wanasubri na ndoa sioii🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-22 10:39:24
1
moody say ... :
mkal w2
2026-08-22 08:31:02
1
Osca Gwai :
fundi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-22 10:08:10
2
Naima024 :
kinata mtoto wa lindi
2026-08-23 10:44:04
0
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu
2026-08-23 08:18:06
1
Fetty momo :
😂😂😂Kumbe na huku ipo💃💃💃
2026-08-22 11:37:59
1
Kemo Fundi Umeme :
alafu Kuna Dox
2026-08-22 10:08:52
1
𝒌𝒊𝒏𝒈 𝒇𝒐𝒓𝒅-👑 :
mtoto wa mchinga road 🔥🔥🔥
2026-08-23 08:23:44
0
Kizunga Mbele :
Mwenye Uwanja wake kaingia 😂😂😂
2026-08-23 16:29:06
1
Lock_Nene :
jamaa ukiwa serious kidogo tu madogo watakimbia sana kwenye ilo game la singeli
2026-08-23 11:53:11
1
mjomba clam Tz 💪💪💪 :
nakubali apo
2026-08-23 08:56:28
0
allidehunter :
ayu mwana wakwetu nnyeweee
2026-08-23 16:32:57
0
To see more videos from user @kinata_mc12, please go to the Tikwm
homepage.