saivi taarifa ya habari tunaangalia TikTok dah ila inauma jaman
2026-08-22 20:23:36
7
Veronica 🌹🌹🌹🌹 :
so pain jmn
2026-08-23 05:48:51
0
jowzey mr money :
hao waalimu wanazingua sanaaa
2026-08-23 05:58:09
4
ray♍ :
walimu wawe waelewa sometimes mtoto hujui kafeli kisa nin 🥺so sadness kwa wazazi mtoto anasomeshwa tangu primary Leo hii advance mnakatisha ndoto zake dah 🥺 walimu muwe mnatuskiliza Wanafunzi tuna mengi mioyoni jmn 🥺
2026-08-22 10:10:49
17
Ty :
jamn advance shule wanapiga Kam wanauw tunapigw na staff nzim na mtu mmoja huy anakupig matek Hy anakupig makof huy anakupig anapotak huelw hat ufany nn man umewekw mtu kat jmn walim jamn walim wapungz jamn Kwan wanauw au serikal hamn mwalim anae piga fimb tat mm nimesoma advance sijawah kuon fimb tat n tis kwend juu hapn jamn
2026-08-22 11:34:34
8
j an driller@ 234 :
ni kweli walimu wanapiga vibaya mno
2026-08-22 12:42:22
9
CEFRINE OUTFIT STORE 😍 :
Tunataka kujua ukumu ya hawo walimu
wahukumiwe vikali
2026-08-22 17:06:38
5
agbella28 :
pumzika kwa aman.... maestro
2026-08-22 09:01:58
7
subira🇹🇿🇰🇪 :
poleni sana familiy Hakika inauma sana😭😭😭
2026-08-22 17:46:04
1
Anastazia Donald :
poleni
2026-08-23 03:09:18
0
ushmema :
hii sheria ya viboko ifutwe mashulen mpk ln lkn??
2026-08-22 11:57:54
4
P mchina :
Me mtajuta mbonaa
2026-08-22 19:59:04
2
mwajuma :
hii mbaya sana inauma mpaka inauma tena poleni waalim mana amkukusudia illo litokee
2026-08-23 04:37:58
1
official g🦋🌹 :
Yaani awo walimu watajane tu maana haiwezekan ningependa tuwaone kabisa
2026-08-22 15:43:56
2
🥰Gee fortunate 💝🤲🧑⚕️ :
pole sana 🥹😭😭😭
2026-08-22 10:16:36
2
festo :
stress za majumbn kwao wanaenda nazo mpka Kwa wtoto wtu,polen Sana wazzi ,kijna apumzike Kwa amani😭
2026-08-22 13:47:47
2
debbycrean :
daah poleni familly
2026-08-22 13:19:00
1
taelyn :
Nyie advance wanapiga Kama wanaua nyoka serikali Naomba muiingilie hili Jambo
2026-08-22 21:03:54
1
miss bhoke❤️ :
hv walimu hao wanajisikiaj machozi ya watu wote hao kama😭😭😭
mwanafunz ambae ulikuw unamfundisha jmni
2026-08-22 19:53:58
1
user6752950243579 :
adhabu kama hizi zipo ila swali kwanini adhabu za mashukeni hazina kiwango tunanyqmaza tu
2026-08-22 20:28:49
1
To see more videos from user @trending_zamotomoto, please go to the Tikwm
homepage.