@mwaipaya_: Ramadhan Rudabuka (19) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Genezani kutokana na video 3 alizosambaza TikTok mwaka 2025 ambazo zimetrend Mwaka huu Taarifa iliyochapishwa kuhusu hukumu hiyo inasema maudhui hayo yalikuwa na lugha ya matusi dhidi ya viongozi wa Serikali.( Samia) na ndio Script iliyotumika na Media zote nchini Ni maneno gani hasa yaliyotafsiriwa kuwa matusi na yakawa msingi wa adhabu hii? Kama kuna kauli inayodaiwa kuwa tusi, ni muhimu iwekwe wazi pamoja na mazingira ambayo ilisemwa. Kutokana na Uchunguzi inaonesha Kijana huyu alipost video hizo mwaka Jana October 2025 akiongelea mwenendo wa uchaguzi kwa Namna ya Kinafiki kupitia Video akiwa na Tisheti ya SAMIA Video hizo hazina uzito wa yeye kuhukumiwa. Kesi imekimbizwa haraka bila Kijana kupata mawakili wa kumtetea Hii Kesi hata uchukue Mwanasheria wa Field Dogo anashinda.

Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 22 August 2026 06:35:56 GMT
101260
3911
153
133

Music

Download

Comments

beybgee
DAYTON :
kwahy hii sound hamfanyii challenge
2026-08-22 09:53:28
1
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-22 09:03:48
20
charity1_tz
ngotyP :
sasa kosa lipo wapi hapo? nani ametufikisha hapa
2026-08-22 07:14:45
80
sky.lord40
⁉️OFFIcIAL_SKY🆒🆙 :
me cjaona kosa
2026-08-22 08:41:54
1
user2567287565569
user2567287565569 :
Sasa amekosea nini
2026-08-22 06:40:43
22
user63523204905048
Young money :
sasa ap amekosea nn
2026-08-22 07:45:11
14
kaiafrica96
KAI AFRICA96 :
Hii kesi hata Mungu mwenyewe ameamua kukaa zake pembeni
2026-08-22 10:09:59
9
mrplusone
Mr.plus one (+) :
Anatumia Jina gan TikTok
2026-08-22 09:47:41
5
realcop_official
doɔlɐǝᴚ🇹🇿✊ :
Yan Kuna watu wanasema hawaoni kosa la uyu dogo... anyway tumepata fundisho
2026-08-22 08:06:11
12
captain...dalazee
captain BIZMANI :
yan uzuri nikwamba kuwa kumbe huwa mnaziona
2026-08-22 07:51:03
17
user4497236341861
user4497236341861 :
wata jua wenyewe
2026-08-22 07:16:25
11
fabiolajr6
🦋🦋Fabiola🦋🦋 :
Cha muhimu ujumbe umefika,
2026-08-22 08:20:17
10
joney138
Joney_💕 :
Niukwel sasa wamemfungia nini
2026-08-22 08:18:13
5
mussa.ngonyani0
MUSSA ngonyani :
ukweli umefika
2026-08-22 07:20:12
6
ayoubdallu
AYOUB DALLU :
matusi gani hapo katukana?😃
2026-08-22 09:05:06
5
user333081027721
chichidodo :
Kumbe wamemuonea
2026-08-22 08:01:15
7
kasorya.tz
kasorya FX📊 :
me napenda safari ....🤣🤣🤣umetisha ujumbe umefika clearly
2026-08-22 07:12:57
6
johnnymbitiyaza
Jn M'bitiyaza :
😂😂😂😂Et Mimi mtu wa mitano
2026-08-22 08:05:44
5
jenifermusa87
jenifermusa87 :
police wanafulahia kuona wananchi wajinga ndomaan wanawafunga hovyo badala tutete et tunaogop
2026-08-22 12:27:20
0
furaha747
user4789365411725 :
kunazile alizokua anatukana mbona hujaposti??????
2026-08-22 10:37:02
1
somoe.business.hub
somoe business hub🩵 :
Sasa kosa lake nini jaman kamtaja mtu kwan😅
2026-08-22 09:38:54
1
john_stones010
ze smart voice :
ila huu ni uonevu sanaa..wallah
2026-08-22 08:55:59
6
rainah.rainah18
Innah🍓 :
sijaona kosa lake kabsa
2026-08-22 09:47:59
4
bintimwaipopo
bintimwaipopo :
mwaka mmoja jela
2026-08-22 09:37:31
1
menja.komedy
BENJA MSAFI💥💥 :
Sasa apo kosalake Nini😭😭😭😭😭
2026-08-22 09:20:55
2
To see more videos from user @mwaipaya_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About