@golden.touch.perf: Usipulize perfuume yako sehemu hizi, Ongezea sehemu nyingine 😇🙌 #goldentouchperfumes #fypシ゚viral #fypシ゚viral🖤tiktok #perfumetiktok #fyppppppppppppppppppppppp
Golden Touch Perfumes
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 06:50:07 GMT
Music
Download
Comments
Eddie_Inigo :
Mimi napuliziwa mtafute wife mwambie
2026-08-22 09:12:52
16
Agnes Masiling4 :
duuh umenukia hadi huku dubai
2026-08-22 08:43:47
5
🪷chaga💕🇹🇿🇰🇪 :
kwapani😂
2026-08-22 13:53:47
0
cherriecherry :
kaka sori uko na mtu 😁😁😁😁
2026-08-22 08:03:49
1
futush23 :
sijui nacheka nin enewei ok😁
2026-08-22 09:36:51
0
J.B. A 🤎🤎❣️💌 :
kaka nayaka hiyo ya kwapan please
2026-08-22 08:15:38
0
Natasha Ismail :
🤪
2026-08-22 09:02:56
0
💯💯💦 :
alaf kweli
2026-08-22 09:32:43
0
yure boy :
nakubal kaka
2026-08-22 09:30:19
0
heison :
tuache kujipulizia 😁
2026-08-22 09:36:57
0
riri :
mbona ww unaweka
2026-08-22 09:04:36
0
Happie_☘️ :
Kuna wadada Yanii😂😂😂 au ninyamaze tu🤐
2026-08-22 11:48:22
0
kayolo master :
ww mbn umepuliza
2026-08-22 09:43:33
0
Prince👑🤴 Julius :
mwanangu unafny. bihashara au unatusema
2026-08-22 10:56:24
0
Veronica Mutabingwa :
yani makwapani inanitoa vipele
2026-08-22 09:32:19
0
John Masanjanagwa :
kuna hizii 3000 zakupima sijuwi nilikosea wapii nilitokwa naupelee shingonii
2026-08-22 09:58:17
0
Angel Melek :
mm mlevi wa pafyumu nashukuru napulizia vizuri tu kama ww
2026-08-22 10:22:01
0
@💫🍭Daughter Helly :
Kwanz nimechek Sana kaka hili somo itabid watu wapew wote jaman😁😁😁
2026-08-22 09:04:37
0
Tarzan :
deodorant Haina harufu😁😁
2026-08-22 08:00:29
0
Haider🦋❣️🦋 :
saw manager
2026-08-22 07:38:24
0
Irin....❤️💫 :
nahitaji perfume za kuuza boss nitapata?
2026-08-22 09:46:41
1
Silvan Gabriel408 :
bora nimepata darasa mana kila siku napulizia kuanzia kwapa adi unyayo wa miguu😂😂😂
2026-08-22 09:46:18
0
brannie :
Tuambie skin care basi
2026-08-22 08:54:40
0
Star✨ collection💖 :
Anyway unaongea kama mwalimu wangu wa math😂😂😂😂😂
2026-08-22 09:35:08
2
To see more videos from user @golden.touch.perf, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.