sahizi inchi inaenda kubaya mtu akiongea ukweli unauma sana ila inchi
2026-08-22 17:36:58
11
if~tah :
alionywa na mimi mmoj ya watu waliomuonya jibu lake alisema kila mtu na maisha yake anaogopa kufa tu
2026-08-22 13:19:42
3
HB Og :
Anatumia Jina gani tik tok tumsikilze vizur😁 anafrahisha
2026-08-22 19:43:47
2
EDWARD A.M.M :
mambo ya kisiasa na mitandao taarifa zinaenda viral. saana
2026-08-22 17:44:30
2
mamusa20 :
koo hili ndio kosa lilimfunga duuh
2026-08-22 19:43:45
1
mbilinyi :
hongera dogo mung anakusudi nawew kwenye taifa lako
2026-08-22 17:55:43
1
user2567287565569 :
kufungwa Kila mtu atafungwa kwa kosa lolote ila kosa Hana hizo ni siasa sema viongozi ni miungu watu shida akitoka ataendelea kuwepo hai
2026-08-22 14:56:37
1
MR CHINA MOBILE PHONE :
Ila naoma hamna kosa ni mtazamo wake na sio waserikali kwahyo kukikuwa hmna haja. Akina tramp wanasemwa sana na wanaona kawaida tuu hakuna mtu ambaye hasemwi suniani sababu kwenye hii dunia huwez kumridhisha kila mtu na huwezi kuoendwa na kila mtu. hata huku mitaani kupo hivyo kila mtu atakusema kwa mtazamo wake ila unawaacha tuu waongee wakichoka wataacha
2026-08-22 08:41:44
1
Soka John :
tutajua wenyewe uko sahii
2026-08-22 17:09:54
0
Safiel Kabora :
neno ningejua huja mwisho wa safari😁😁
2026-08-22 14:35:58
0
mussa silozi :
dah jaman sasa kosa nn apa
2026-08-22 18:53:02
0
💫sis💞 :
sasa kakosea wapi?
2026-08-22 16:58:39
0
user4590034068867 :
apo kaakosea nn mnamfunga jela kamtaja nan
2026-08-22 13:31:12
0
Nails crafting🪄 :
haha hii nchi ukisema ukweli wewe umeisha 😅
2026-08-22 18:27:33
0
pancho latino :
Baas kwisha
2026-08-22 20:01:28
0
Nick kinigu :
pore sana uriyataka mwenye hy
2026-08-22 20:04:37
0
Niga White :
ndy maana ya mitandao ya kijamii kijana amewasilisha ujumbe kwa namna yake ya kipekee musimlaumu 🔥🔥🔥
2026-08-22 21:19:50
0
Irene kafem :
ila ukikaa mwaka c shid zako ila umetuwakilish 😂 ujumbe umemfikia
2026-08-22 19:06:03
0
dj Eddy meddy :
kama na kuelewa ivii
2026-08-23 01:22:37
0
user7397956057077 :
mungu akulinde kijana
2026-08-22 23:51:53
0
Man Sam :
mtajua wenyewe
2026-08-22 19:09:56
0
omane phone kitonga :
uwiiiiiiiii😳
2026-08-22 22:02:03
0
soja mhehe 🙏🙏 :
🤣
2026-08-22 15:07:01
0
To see more videos from user @computersandaccessories, please go to the Tikwm
homepage.