Ata konde alikataliwa bss ona sasa hv yupo wapi so usimkatie mtu tamaa kaka 🔥
2026-08-22 08:24:57
3
_fřäďēé_Ęfx﷽☪ :
mwanang umefanana sana na lil durk
2026-08-26 19:43:39
0
kibu D :
nilizan unazalau ilaa nilipo sikia iyoo nyimbo nimegundua kitu itakua aubas
2026-08-22 10:50:37
1
Hussein { MAGIC Brain }🧠🇹🇿 :
Unamkubalia . Lakini befor,unatakiwa kumueleza mapungufu aliyonayo na kumrekebisha ili apate kujua kipi sahihi anatakiwa kufanya . Ikiwezekana unarudia kuandika ngoma nzima kwa mfumo sahihi,kisha ndipo mnarecord. Kumbuka kila Mbuyu ulianza kama mchicha .
2026-08-22 09:52:35
1
Sky hunter 💸🥷 :
Nitavunja sahani dubai kwa shingi milion 98 za kitanzania 😁😁😁😁😁😁😁😁😁