@pastormunishi: KUMBE KILA MWANANDOA ANAJUA MAKOSA YAKE KWENYE NDOA Wewe unayajua makosa yako kwenye Ndoa yako? Mwanzo 2:22-24 Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu. [23]Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume. [24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Munishi Faustin
Munishi Faustin
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 22 August 2026 07:22:26 GMT
20476
1343
63
65

Music

Download

Comments

sammynjagi7
S.N.G :
Munishi has been consistent in the gospel.
2026-08-22 13:56:34
4
user6780075314338
mamake onzie :
Manish akiish Greenfield estate Nairobi. sisemi kitu
2026-08-22 09:08:43
0
chriscrha7
pastor Chris :
good lessons to learn legends
2026-08-22 14:38:00
0
lawithananga
LAWI THANANGA :
Praise God the servant of God.You have stood the test of time, you are a true man of God that I can attest be blessed brother and your family
2026-08-22 19:38:29
1
francemwailafu
francemwailafu :
nafika
2026-08-22 19:54:36
0
usernkaston
kaston :
waaa 36🫣🫣🙏🙏🙏
2026-08-22 14:02:38
0
flash.back5877
Flash back :
Na ulichagua mrembo sana kipindi hichoo hadi saivi ni mzuri👏👏
2026-08-22 19:06:46
2
stephenkariuki373
stephenkariuki373 :
balua nzuli mumbalikiwe sana
2026-08-22 19:37:08
2
user4441615320173
robby wilson :
Mimi Niko YouTube nangojea Ngoma mpya Mimi ya ndoa ilinishinda
2026-08-22 08:53:40
1
nellykilua
Nelly Kilua :
mabikira piga kelele wasio mabikira kazi kwetu maana hiii kitu sio poa
2026-08-22 14:28:51
2
user27615293444100glow
user27615293444100glorier :
Bibi mrembo kweli
2026-08-22 09:26:57
2
dr.annointamani
Dr annointamani :
BWANA YESU AWAPE NEEMA YA KUINGIA MBINGUNI WOTE WAWILI ,WAZAZI WANGU WANGU MMEPENDEZA SANA 🙏
2026-08-22 08:16:33
2
sinailas
sinaila shabili :
munishi una uhakika bado ana bikira ?
2026-08-22 16:40:15
1
teddywaziri
Pastor Teddy Waziri :
Mumependeza watumishi wa Mungu
2026-08-22 07:43:00
1
reri.samba
Reri samba :
hii nyumba inakaa furaha sana
2026-08-22 09:57:40
1
abasi290
abas mbwambo :
kuna funzo hapa la kweli kabisa Mungu atusaidie
2026-08-22 14:54:36
1
matumainiahadi.faustin
mshonaji🙏🙏 :
MUNGU awabariki Sana tunawapenda Sana nanyimbo zenupiya
2026-08-23 00:20:59
0
eunicemwikali04
eunicemwikali7803 :
Hapo ni kweli mtumishi wa Mungu
2026-08-22 21:29:13
0
user1795708428135
user1795708428135 :
asanteni mungu awabariki,ndoa ni kuvumiliana n'a mke akiwa nahakili timamu kujua tunajenga maisha itakuwa vizuri
2026-08-23 02:12:56
0
user81279972872
Yona kitomari :
umeoa mmeru mrembo kweli kweli barikiweni milele
2026-08-22 16:49:11
1
rogermaheshe505
Roger Maheshe :
Mungu Akubariki sana Baba
2026-08-22 23:57:38
0
potentially579
potentially :
huo ni uwongo bwanaaa Bikra Sio rahisi 🤣😂🤣
2026-08-22 23:45:55
0
keiyobabes
Pepis nebo Keiyo :
She's beautiful mommy 🥰🥰🥰
2026-08-22 18:41:04
0
user47056319841610
joyjoanjescar.www :
amina sana mbarikiwe sana
2026-08-22 18:32:11
0
amaniakilimali152
amaniakilimali152 :
Nikweli kwenye ndowakuna unafki hapo ukiambiwa umuombe mkewako msamaha kuna mabo hamukuweza tuambiya.piya bibi naye kunaukweli hawezi ongeya.
2026-08-22 08:30:37
0
To see more videos from user @pastormunishi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About