I feel you jmn😭😭but sio ww tu 😭😭tupo wengi plz dont cry 😭😭 😭😭mi unaniumiza unavolia 😭
2026-08-23 07:25:22
0
Riley's :
my situation 😭
2026-08-23 06:18:09
1
Baby vinka :
Hii kitu inauma jamn acheni tu
2026-08-23 03:49:14
10
fav___shley💦🫦 :
aaah pole san
2026-08-22 08:25:45
2
Miss olly :
Nakuelewa sana my situation right now
2026-08-23 03:26:53
1
ابنة مسعودي :
ndo muda ninaopitia kwa sasa na lala saa 6 nashituka saa 9 sipati usingizi tena ila naswali sana kuiombea nafsi yangu ipate utulivu yarabh tusamehe waja wako
2026-08-23 03:24:17
26
🦋💍Belainda ❤️🔏 :
Pol kpnz 🫂be strong 💪🏿
2026-08-23 04:36:40
5
eun❤ :
🥹🥹 Polee mpenz. Usikate tamaa, najua moyo wako umechoka na umejaa uchungu. ❤️Kumbuka, kila maumivu yana mwisho na siku nzuri bado zipo mbele yako.
Mungu akupe nguvu na amani ya moyo katika kipindi hiki kigumu. 🫂
Shikilia tumaini, utapita salama na utatabasamu tena. ❤️
2026-08-23 05:00:49
12
Janeth Massawe :
jmn mbn umeniliza asubuhi yote hii dia
2026-08-23 06:01:10
3
kaylolo🤏 :
dada upitii pekeakoo 😭😭😭 ata mm
2026-08-23 05:53:49
3
Annastazia Slivestar🇹🇿❤️❤️🦋 :
pole sana kipenz 🫂
2026-08-23 05:08:42
2
Naah Mziwanda🛒🛍️ :
Situation 😭💔
2026-08-22 22:52:06
1
Trice👑❤️💕💖 :
🥹😭
2026-08-23 05:21:03
2
Official Dee💁♀️💕 :
Pole sana dear mungu akupe nguvu
2026-08-23 05:50:47
2
AGC 🌺store :
Poleeee mama 😔
2026-08-23 04:54:50
2
Hawa :
pole kipenzi
2026-08-23 05:08:24
1
hope🦋💖 :
pole sana😭😭
2026-08-23 04:59:54
2
Nana😍🫀H🔒 :
kweli ivyooo😭😭😭😭😭
2026-08-23 05:50:05
2
🥀Miss 🦋feñnah🌹 Boss❤️ :
Kuna kipindi unapitia hii situation hadi unatamani kama mungu akutenge na Dunia ya peke yako uishi na ndege na mwanyama labda utakuw na furaha kuliko kuishi na binadamu anayekuchekea usoni ndio anayekuumiza ili hata Ile amani ya moyo usiwe nayo...🥹🥹
2026-08-23 03:18:59
2
EMMY COLLECTION🪄🛍️ :
Polee naomba nisali kwajili yako dear🙏🙏🫂
2026-08-23 05:47:06
3
fav___shley💦🫦 :
kwann mamaa mbon hiv polee san
2026-08-22 08:25:16
2
Abdulwahab :
ALLAH ATAKUFANYIA WEPESI KIPESNZI
2026-08-23 05:07:43
2
Yoel Mhanga :
kweli kipenzi ila jipemoyo Ina tokea sana yani
2026-08-23 05:28:59
1
Phabywinne :
😭😭😭😭 jmn pole kipnz
2026-08-23 05:29:07
1
To see more videos from user @nanahpretty42, please go to the Tikwm
homepage.