bora nyie hata nyumban mnapo sisi hata nyumban hatunaga yan hata hao wa kuwaomba pesa au mahimdi hatuna hongereni wenye wazazi washikeni vizuri
2026-08-22 12:57:16
8
cntahsanga :
😂😂😂😂😂 sio uongo
2026-08-22 07:53:21
5
Esther 🦋🦋 :
Mm kila siku naomba hela ya luku 5000 usiku nawambia nimeishiwa umeme kumbe ndo hela ya kula😅😅😅😅
2026-08-22 12:42:26
2
essy :
Maisha si rahisi kama tunavyofikiria😂😂😂
2026-08-22 10:59:05
1
dragongirl369 :
Mimi kila siku kazi kuwakopa bab na mama na kaka yangu sijui ntawasaidia lini nanikopa siwalipi lakn kwakua ni wazazi nikiwakopa wananipa tu ila siku mama akicharuk ananikumbushia maden yake yan ni zaid y milioni juzi aliniesabia 😂
2026-08-22 11:51:52
2
✔️ :
ngoja nikufollw tu 😅😅😅
2026-08-22 17:53:37
0
🇹🇿 :
daaaaah 🤣🤣🤣🤣warai tena
2026-08-22 09:34:49
0
Eliza :
😂😂😂😂😂njaaa Itaniua jmn
2026-08-22 09:27:50
0
Eng Sammy autor tester :
bila kusahau makweme😂
2026-08-22 07:56:28
0
#luhungaTz❤ :
FREE JUMA JUX
2026-08-22 17:27:13
0
@mery :
tupo wengi
2026-08-22 10:12:34
0
Happy Dimple🌹 :
🤣🤣🤣ukweli mtupu
2026-08-22 10:08:56
0
Mom D :
ni mimi kabisa😂
2026-08-22 15:31:33
0
MADAM C.E.O :
🤣🤣🤣🤣🤣 hii nayo ni mbaya wallah
2026-08-22 13:52:27
0
SAMATTA 10 :
hakika 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-22 12:03:00
0
babylee💞💞 :
Hii nikweli sio uongo😂😂
2026-08-22 08:59:31
1
kiroche1 :
the road looks familiar
2026-08-22 15:50:58
0
Lizzy❤️❤️ :
nimemis kijijin kwetu🥲🥲
2026-08-22 19:55:36
0
Geny🍂___ :
😂😂 tupo wengi
2026-08-22 19:57:14
0
bonnylove519 :
2026-08-22 12:22:29
0
flocha gel :
ila coments 😆😆
2026-08-22 19:49:09
0
To see more videos from user @amani_msuya93, please go to the Tikwm
homepage.