@ankotfans1: Jmn😂😂😂💔#fypシ

ankotfans1
ankotfans1
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 07:51:26 GMT
238624
19364
902
1366

Music

Download

Comments

user7529116138132
sauda rashidi :
baby girl 😂😂
2026-08-31 07:54:19
0
joesly25
@j.o.e.s.l.y 🤍♌️ :
Uniform za mama nitungulieee 🤌🏾😂😂😂😂
2026-08-31 09:21:23
0
fettysaid03
fetty :
kiatu unaweka karatasi mbele kwanza😂😂😂😂
2026-08-22 14:39:45
403
user070309763w
Amwinny♥️💐 :
sjawah kucheka kama leo et ungekoma kama nilivyo koma🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 19:45:39
160
babylavender76
@~baby🫦~lavender🪻🪻 :
🤣🤣🤣🙌 kwakwer
2026-08-31 11:12:23
0
veronicahillary45
wisdomgirl💃🧑 :
tulio fungua sketi na pini tujuane🤣🤣
2026-08-24 09:07:42
234
user22132708753382
radhia❤❤ :
hahaha jaman putura😂😂😂
2026-08-22 09:27:41
308
bihawamzaire
Bihawa💕 :
Mi nilinunuliwa kuliatu na baba jmn siwez sahau. Kiatu kukimbia nilikua siwez alafu nyuma lina kisigino nyie😅 nikitokea hapo utasema nina kwato
2026-08-24 17:51:49
96
traore.photoshoot
📸 :
shikamoo anko T
2026-08-24 11:23:25
4
bugumba.hellen
riz :
🤣🤣🤣 Ila Uncle T
2026-08-27 18:07:27
0
user4551159852478
cookie 🥞🍪🌹🫦 :
tomato jmn nimeanzà kuivaa 4m2🤣
2026-08-23 01:06:16
41
mayrah_ram1
Mayra_ram :
C bora na nyie. Mm nasoma la pili baba akaninunulia la kaka alie maliza la saba harafu huy kk alikua kk mkuu elew kk jmn wa enzi hiz ni baba sio mwanafunz nikiingia t shulen naanzwa kuchekwa na walim hd wanafnz
2026-08-22 14:33:03
69
aishaahassani130
Aishaa Hassani :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila huyu anachekeshaga amenikumbusha mbali sana shule ya msingi eti vifungo Saba vimeng'oka
2026-08-22 10:59:05
69
ummyomary2
ummyomary125 :
Ila jamaniiiii Muacheni T atupunguze strees. Yan me nachekaga had mbavu zinaumaa😂😂
2026-08-22 16:46:36
37
najiha696
@Auntnaj🐰 :
😆😆😆🤣Mimi kiatu nilichokuwa navaaa 😭soli zintoo hatari kiatu gorofa Alafu natembea Ila Maisha Acha tu tuliko pita watoto wetu wasipite
2026-08-24 04:00:55
20
mrs.mohdy
Mrs Mohdy❤️🔐 :
Sijawai kukucoment lkn leo nimecheka kwasauti wallah 😂😂😂😂😂😂
2026-08-22 15:59:45
33
venerandaraymond22
VENNIE JUICE BAR :
Mm kwenye mchana mchaka asubuh nilipoteza kiatu coz nilisahau kuweka karatasi kwahiyo vilichomokea uko mitaroni 🥹🥹
2026-08-23 08:06:51
23
princessesther236
Madame Esther :
Nilinunuliwa viatu mama kasema mm mguu wangu wa moto namaliza viatu haraka sasa akanunua viatu kaenda kwa fundi kuwekewa sori ya pili viatu vilikua vizito nilikua mpaka siwezi kutembea nikitoka darasani navua natembea peku mpaka nyumban 😂😂😂😂
2026-08-26 19:57:48
7
jacqwizzyofficial
Jackie accessories 🦂🦂 :
nakumbuka nilipotezaga viatu vya shule kumwambia baba akasema utavaa vyangu 🤣🤣nikajua utani kesho yake nikapewa viatu vya baba nivae niende shule nililia nikamwambia ni vikubwa akanambia weka makaratasi mbele vitakutosha tu 😂😂🤣💔💔 nyie tumetoka mbali 😂😂
2026-08-26 13:59:41
6
prisc1811
prisc💕 :
Putura ni nini mwe😂
2026-08-24 05:14:47
16
litephilimo
lity💫💫 :
kweli kaka angu hujakosea me nilinunuliwa mishati jamani ya shule mikubwa unaambiwa unakuuwa nayo
2026-08-22 13:31:44
28
aline.busime
Aline busime :
Nakupenda bure mimi ❤️
2026-08-22 08:04:03
25
amina.saidi806
Amina Saidi :
mitano tena😂😂😂
2026-08-22 13:36:39
5
machuwa6
MACHUWA :
mpaka nimecheka kwa nguvu yaani anko T
2026-08-22 17:40:13
17
To see more videos from user @ankotfans1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About