Sijasema namuamini mganga ila tu kujihadhari ni muhimu zaidi nitamfata tu mganga 😂😂
2026-08-22 12:03:46
13
Franky org :
nimempgia huyo uncle wake juzi Aiseee 😢🙌🙌, nitoke2 dar Nika set mipango
2026-08-22 11:00:16
5
graceney :
naomba niende na mganga nje😂😂
2026-08-22 11:07:06
1
habiba.shayo :
Kwenye dini hapo siyo wote wanatafuta pesa ila ninavojua mimi imani ya mtu kuhusu mungu na kufanya mapendo mema na niwasihi tu watu kitu kinachotufanya tusiwe na imani na kuona miujiza sisi hatuna mahusiano mazuri na Mungu na kumjua Mungu kunahitaji ukweli na uwazi wa maisha yetu na kuomba sana na kujinyenyekeza mbele za Mungu. Mungu atusaidie japo story yako naipenda sababu inanifunza mambo mengi
2026-08-22 11:31:38
4
Skyler Tz :
Hii dunia bhanaaaa sio salama kabisaaa ni Mungu tu ndo anatupogania lkn kiukweli Mungu akisema atuache hata kwa sekunde sifuri tu basi hatuna maisha tenaaaaaa
2026-08-22 09:12:14
18
The TOURIST 🍀 :
let's go 29 tunaisubili Kwa hamu sana🏃
2026-08-22 10:51:44
2
Judy collection :
nimekuwa wa kwanza leo
2026-08-22 08:08:36
8
user2979059442605 :
Lete vipande vingi
2026-08-22 12:33:57
1
Jimboy Kartel :
nashuka
2026-08-22 08:15:25
4
Yo’galvee 🥀 :
Siamini uganga ila Mungu nwenyew alisema jisaidi namm nitakusaidia kwakwel ningemfta tu mganga 😂
2026-08-25 11:41:33
0
kellybrand18 :
Wakwanza leo
2026-08-22 08:08:13
3
simphorosa 🌹💗kessy :
kusem vya ukwel mimi ninge shuk tu😂😂😂
2026-08-22 14:15:43
1
Ms_matoi :
Nitabaki
2026-08-22 10:59:03
1
Annie's :
next🤣
2026-08-22 08:15:10
2
vailet6 :
tuma namba
2026-08-22 11:28:31
1
10jr sports wear10 :
nashuka bhn😁
2026-08-22 10:26:54
1
Hāmīsï De Hërø💘 :
big up sana💪
2026-08-22 10:39:41
2
Jimboy Kartel :
toka sehemu ya kwanza niko na ww kaka mbk sasa kipande cha 28
2026-08-22 08:20:11
3
cuteEmmy🇹🇿🇺🇲 :
❤️❤️sehem 29
2026-08-22 10:23:04
1
Cloud_P03 :
Next nitag kaka Niko na ww toka sehem ya 1
2026-08-22 11:12:14
1
Amy ngajilo :
Nashuka na mganga mm jaman
2026-08-22 12:25:51
1
PANN TZ :
kaka malume post ya 29
2026-08-22 11:07:04
1
Salma Mustaph21 :
nexttt
2026-08-22 11:10:29
1
superwoman :
next episode plz
2026-08-22 12:50:05
1
To see more videos from user @realstanlei, please go to the Tikwm
homepage.