@vkbmedia: Ana hoja,mpe sikio mpaka mwisho utamuelewa mchambuzi wa soka mbobezi Farhan Kihamu #VKBMediaUpdates

Van Kahise
Van Kahise
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 08:05:23 GMT
15111
482
46
39

Music

Download

Comments

peop314
people :
bado hamjasema,yanga mwaka Jana aligangaika lakin hamkuj na iyo time table
2026-08-22 08:39:34
6
adam.classic3
Adam classic :
SASA NIMEELEWAA. YANGA MECHI ZAKE ZOOOTE ZA LIGI ATACHEZEA HOME NA ZILE ZA AWAY ATACHEZA SIMBA. NA TIMU NYINGINE ZOOOTE ZA LIGI KUU TZ BARA ZITACHEZA HOME. NI SIMBA TUU NDIO ATACHEZA AWAY.
2026-08-22 09:36:31
2
maryanismail2
RAJABU MELIMELI :
duuuuhhhhh
2026-08-22 09:20:20
0
eng.anselmjr
Eng.Anselmjr :
Ndio maana lig imeshuka haina usawa
2026-08-22 09:37:54
2
user8697531199624
Amon izzy Boy :
ii ligi ni yanga ndomaana pengine latba ngum kwa simba2 wenyewe waokote mapema point ili Simba aangushe
2026-08-22 10:28:21
1
innxent.e.mtemy
Innôxent E Mtemy :
kwn m nauliza kucheza away ni tatizo.? ata Yanga si atacheza away kwa mech sawa na hizo za Simba
2026-08-22 09:02:39
1
the_boss_baby_tz
The boss baby :
naomba kuuliza ratiba ikiwa inawafeva mnakuwaga wapi? kingine kwani yanga atacheza mechi ngapi home na simba atacheza ngapi home?
2026-08-22 11:18:13
1
kelvinpaul96
Robby one :
kuna namna filani ya upangaji wa matokeo
2026-08-22 10:52:52
1
altongatunga
Alto Ngatunga :
Wanaposema mpaka 2030 wanamaana Yao, angalia kama Simba Kila baada ya siku 2 anacheza, Kuna watu wenye mamlaka wanaosabaishayote hayo
2026-08-22 09:34:30
1
raisuma1
Rai Suma :
Ipo siku kuna kiongozi wa mpila atauliwa na shabiki wa mpila hiyo siku ikifika Tutaheshimiana kwa kufuata Taratibu za mpila na kuheshimiana 🙏🙏
2026-08-22 10:13:10
1
ramadhaniali7
brackboy :
fact
2026-08-22 11:58:01
0
mayamaige
Maya :
Wenye D2 tumekuelewa kaka, we acha tu mazingira ya ligi yetu ni kwa maelekezo tuuuu.
2026-08-22 11:53:11
0
fassoblacksouth
Fadhilindungwi :
Kwaiyo mchambuzi ligi ya mwaka huu Simba atacheza mechi nyingi ugenini kuliko nyumbani na Yanga atacheza mechi nyingi nyumbani kuliko ugenini? Maana nasikia zaugenini tu na chache za nyumbani,unatuaminisha Simba katika jumla ya michezo 30 Simba atacheza michezo 10 pekee za nyumbani na 20 za ugenini?Kweli uonevu huo
2026-08-22 11:19:59
0
pilatoonlinetv
Pilato Online Tv :
Tatizo hapa ni CCM Wanawalipa timu yao kwa zile hela walizo toa wakati wa Campaign.
2026-08-22 12:14:07
0
tanzania.star1
TANZANIA STAR :
kucheza away sio tatizo ila angalia mchoro ulivyo simba ameanzia Kagera-Mwanza-halafu Singida gape ni siku 2 tuu halafu safari toka Mwanza kwenda Singida hakuna ndege wamesafiri na bus umbali mrefu hapo uchovu muhimu sana. Bila kuwa na unazi kama ni mtu wa mpira utaelewa jambo
2026-08-22 11:16:35
1
user6007554381238
jabby tz :
hii ratiba si wew tu unakigugumizi tupo wengi mtaani huku an simba masaa 72 ila yanga anapumzika sana
2026-08-22 11:12:56
0
emmanuel_pasco1
Emmanuel_Pasco1 :
Una akili sana,mpaka hapo Yanga Bingwa
2026-08-22 11:41:40
0
hassanmaalim10
H_Mᴀᴀʟɪᴍ :
Inaonyesha kuna mipango maalum ya kuidhohofisha simba
2026-08-22 11:11:08
0
halfan143
Halfan mbonde :
vigogo wamepanga Yanga ichukue ubingwa mara kumi mfululizo.
2026-08-22 10:50:02
1
mrprovider6
~Mr Provider :
kwani shida gan
2026-08-22 09:59:25
0
user4710656237591
user4710656237591 :
Hiyo inapangwa makusudi kuihujumu Simba!
2026-08-22 13:55:54
0
jamessamwel695
lutto :
yanga n kam ccm 2 sion cha ajabu
2026-08-22 14:35:48
0
user814783974796biden
Joel :
YANGA BINGWA 💛💚🖤
2026-08-22 10:29:38
0
chimpa_megaphone_store
sebastian_unstopable :
mwakani tena
2026-08-22 10:29:46
0
simeca6
SIMECA06 :
@Adam classic:SASA NIMEELEWAA. YANGA MECHI ZAKE ZOOOTE ZA LIGI ATACHEZEA HOME NA ZILE ZA AWAY ATACHEZA SIMBA. NA TIMU NYINGINE ZOOOTE ZA LIGI KUU TZ BARA ZITACHEZA HOME. NI SIMBA TUU NDIO ATACHEZA AWAY.
2026-08-22 09:48:52
0
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About