@skybridgetv_jp_01: 王朝転生 開墾致富-2

Nebula_Theater
Nebula_Theater
Open In TikTok:
Region: JP
Saturday 22 August 2026 08:20:00 GMT
5994
150
0
5

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @skybridgetv_jp_01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

🍃🥀▫️Usibabaishwe na ndala za chooni ambazo hazifiki ukumbini.▫️Bibi weeee, pambana na ndoa yako.Ni aibu kugombana na mwanamke mwenzio kisa anataka kuolewa na mumeo au anatembea na mumeo. Unajipa presha, unakonda kwa mawazo, unapauka.mwanamke upo kwenye ndoa miaka mitatu lakini umepauka na kukondeana kisa ni kibarua kisichokuwa na mshahara cha kumchunguza mumeo na kusumbuana na michepuko yake.  Unashindwa kumpa utulivu mumeo kisa umeona sms ya mapenzi, Umeambiwa ana mchepuko au ameoa kwa siri. Hivi kumchunguza kwako na kupigana na wanawake wenzio unadhani ndio tiba ya mumeo ya uhanyaji?  Wakati weeee unakonda mwenzako ananenepa NA ngozi inakuwa na nuru hadi kama alikuwa mzee anaanza kurudi kijana . Wakati Wewe una gubu na visirani ndani mwenzako anamueka mapajani vizuri Sana na anam'bembeleza.    Ya nini kujiweka roho juu kisa ndizi mzuzu??  Pendeza mwali wangu.zidisha mvuto wako wa ndani na inje mpaka ajutie ni kwa nini anahangaika na Kila Gari na stage ni moja tuu?  Mzidishie mapenzi mumeo.Muhogo NI mmoja tu Ila unaweza ukaupika kwa mapishi tofauti tofauti na ukakupa LADHA tofauti. Muhogo wa KUCHOMA una taste yake, wanazi una taste yake na wakukaanga pia una taste yake. Penzi linapaliliwa ndio lizidi kunoga.  ▫️Punguza mdomo mume ajiulize huyu mbona kabadilika yeye sasa, aumize kichwa kuwaza mabadiliko yako. Kama ulikuwa watumia pumzi zako kwa kutukanana nae wacha, Anza kuzitumia nguvu hizo kwa manufaa mengine. Mda wenye ulikuwa wautumia kwa kumchunguza sasa utumie kwa kujipenda, kujijenga na kujitunza.  NISIKILIZE, huenda mumeo akawa na wapenzi wengi Ila jiulize mbona kakuchagua wewe kuwa mke tena wa sheria? Bimaana wewe ndio chaguo lake wengine ni wapita njia tu. Mchepuko ATABAKI KUWA mchepuko tu na wewe nafasi yako iko pale pale. Usisumbuliwe na MBWEMBWE ZA mchepuko kwani atabaki kuwa boli la zoezi tu mumeo akimalizana nalo atalitupa. Hebu jiulize kama kweli anathamani mbona asiolewe anabaki kuishia guest tu. Wewe ndio mama mjengo hivyo jiamini  Jipende, jitunze na kujijali, kisha jijenge na ujipe Amani ya moyo,wacha kujipa kazi ya upelelezi kujitia ugonjwa wa moyo na pressure isiyo na sababu mwisho wa siku ukifariki leo huyo unaejipandishia pressure ataoa mtu mwengine na ya kwake yaendelee wewe utazikwa na wanao wabaki yatima.   TAHADHARI MWARI. , kuna watu wapo kwenye ndoa kwa ajili ya watoto tu hivyo Kila mtu atafutia mwenzake sababu  ili waachane, hivyo mambo yasiyo na msingi punguza na kuyapuuzia . Unaweza mfukuza mumeo kwa hasira au kuondoka kisa ni mchepuko, ukashangaa mbona hakutafuti kwa simu wala kukubembeleza urudi, na cha zaidi akakusindikiza na talaka bila kutarajia kumbe alikuwa amechoshwa na drama zako awaza tu atakuondoa vipi. Mapenzi yanapaswa yakupe UTULIVU sio vurugu hivyo kama wewe ni wale wa kusema mapenzi lazima  vurugu basi koma kuanzia sasa usije ukajiponza .  MWARI, uzinifu ni tabia ya mtu ya ndani na itabadilika kama mtu mwenyewe ameamua kuachana na tabia hio wala sio kumpeleka mbio baada ya kumfumania au kupigana na michepuko yake ndio utamzidishia kiburi, mwanaume kabla umfumanie huwa na uoga Sana kwa mkewe asije kugundua kama Ana mtu mwingine Ila siku akigundua UNAFAHAMU uhanyaji wake basi huendelea kwani anajua hata akiwacha hutawahi muamini tena . Suluhisho pekee ni kukaa kwenye mswala na kumuombea mungu ambadilishe na kumuongoza . Na kama kaoa pia muombee kwa mungu awe mume mwenye kufanya uadilifu na akuzidishie mapenzi moyoni mwake wala sio kusumbuana na wake WENZA utakosa radhi za mola wako ubaki unateseka na mke mwenzio ananenepa.  #creatorsearchinsights #10000millionviewsviralvideo

About