Kama ujaamka hiyo tabia ina madhara sana sababu Ubongo wako unakuwa unashindwa kumtabiri, asubuhi kakufanyia hivyo alafu mchana anakuja kama akikutokea kitu, wewe unasubiri arudi muyamalize mwenzako akirudi kaja kivingine na ukimuuliza kuhusu asubuhi anakataa katakata unaanza kujiona au mm nimepagawa? unaanza kujiuliza. Ubongo wako kupitia homorny ya kupambana na stress inamwaga tindikali za kupambana na stress muda wote wakati Mungu aliziumba zimwagwe kwa muda flani tu, Ubongo unakuwa kwenye alert (tahadhali muda wote) hapo ndio anajiingiza kwenye mwili wako kuhisia (bonding). Hiyo hali ikienda inaleta madhara ya kiafya sababu zile tindikali ni sumu. Utajikuta unapoteza kumbukumbu kirahisi mno, kipanda uso, matumbo sumbufu (irritable bowel syndrome), acid tumboni N.K, Ukiwa strong unaweza ukaamka kabla ujajua kuwa yule ni narcissist sababu unaweza kupambanau mambo umejifunza mwenyewe kwa muda mrefu mnampuuza, hapo sasa anarudia tena mbinu zake tangu mwanzoo anakupa love bomb, mirroring N.K yani wale ni kama watoto. Mi nawachezea kama vinyago sikuhizi🤣🤣. Nawajua hata wakiwa mita 100
2026-08-22 16:18:13
0
MAMA BOY'S :
asante sana
2026-08-22 08:37:28
0
@Pendova🎀🦋 :
hii kitu n kwel kabc ukikaa kmy
2026-08-22 12:00:33
0
Nas_Mahiphop :
mashallah m.mungu akuweke Amir
2026-08-22 11:28:34
2
mamaaraphaty5 :
Shukran sana
2026-08-22 08:32:54
0
MOJA MEREKWA :
😁😁😁
2026-08-22 08:27:25
0
faizo Abdul :
🥰🥰🥰
2026-08-22 17:50:56
0
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm
homepage.