@cley15_: #VILARVIDEO #oman🇴🇲 #canada_life🇨🇦 #usa🇺🇸 #tanzaniantiktok🇹🇿

PEACE MAKER 🚧
PEACE MAKER 🚧
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 08:20:07 GMT
88777
6155
463
835

Music

Download

Comments

ziongrl
ZION GRL🤍💎 :
huko mbalii mimi hata nkisevi jina lake vzr kwa mahabaa ndio tunagombana nusu kuachana😂😂😂
2026-08-23 07:44:28
97
rukiamatola
matolaproduct :
Nlichogundua watu weng mahusiano yetu yanaharibika kwa ajili ya kushirikisha watu mm nlkua serious na mwanaume wangu na yeye akawa serious nlipo Anza tu kushirikisha rafiki angu wala hatukufika mbali
2026-08-22 15:08:39
127
raimumrina
mrinaJr/😷 :
shida kubwa kuna ile tabia ya kuanza kuzoeana vibaya 😬ndipo huwa inazaa matatizo makubwa sana kwenye mahusiano
2026-10-10 17:18:55
2
raybeauty04
Ray-beauty🥰 :
Me nimeshaachana nae hiv na harusi ilikua iwe mwezi wa kumi 🥺🥺 nimetolewa mahari kabisa na tulikua tunapebdana saaaana
2026-08-23 03:59:26
33
user24024190945116
user24024190945116 :
Uhusiano ukishakuwa wazi kwamba kila ndugu anajua mnatakiwa muwe karibu sana na MUNGU, kwasababu hata ndugu shetani anaweza akawatumia kuharibu
2026-08-22 15:22:48
57
cuteme6061
💝Cute Natasha🦋🥰 :
Mimi naona nipumzike jamani😂😂😂😂
2026-08-22 19:59:14
13
dadamkubwa28
hitz :
sasa umenifungua macho me nilikuwa najua labda nimerogwa maana changamoto ni nying mno adi nachoka
2026-08-22 09:34:44
51
frolianbernald0
Nshomile Boy🧒🛋️ :
Mimi nahisi sitaoa, nilikuwa nimefikia hatua hiyo juz nikaenda nae kariakoo kufanya shopping ya mavazi nikamnunulia kila alichokitamani wakati tunaludi kushuka tu kwenye bajaji ugomvi ndo ulianzia hapo nikamnyanganya na simu Yangu vitu vyote nilivyomnunulia huko kariakoo bado ninavyo geto nitawatumia ndugu zangu. mm blood group O sijazoea kuish kwa stress za mapenzi nimeona nihachane nae niishi kwa Amani
2026-08-22 19:32:56
8
reeney899
Reeney :
nikisikia mambo ya mahusiano nashindwa kupumua vizur🥺
2026-09-07 14:32:46
3
user1174777432883
miss chocolate :
siri ni moja2 kuwa n mtu ambaye yeye ndo anakupenda sana soyo wew nd unampenda ogopa
2026-09-22 20:28:56
9
mkiramweni
Kim vee :
wanao haribu mahusiano nimarafik kwenye maisha yangu sitakuja kuwa narafik tutakutana kazin namahala kwingine lakin sio rafik wakumshirikisha mambo yangu
2026-08-22 15:47:08
24
she_is_nancy
she_is_nancy :
Nilibadilisha tuu jina kutoka jina lake la ukoo hadi my heaven babe😂 sijasahi kumuona tena😂😂🙌
2026-10-05 09:10:00
2
diva.the.boss97
Diva the boss97 :
amna cha shetani ni ndugu na marafiki wanatia unafki
2026-08-23 10:52:02
7
nanaa.queen0
nanaqueen :
KWa sababu Mungu anawaandaa na kuruhusu majaribu ili kuzipima Imani zenu, anawataka wote muwe strong na ikitokea wote mkashinda basi anachilia baraka zake coz anataka watu wavumilivu, hakuna kizaifu kitakachoingia katika ufalme wake, tunda la Roho ni uvumilivu,upendo na amani😉 na huwezi bila kupanda🙏na mbele zipo baraka kubwa, kwani apatae mke au mume ajipatia kibali kutoka kwa Bwana, vumilia dada au kaka 🙏
2026-08-23 13:08:20
12
momallen13
🌸 ZAMMY AKIDA 💙 :
si tumeshaachana niko najimalizaa sas niokoeni 😪😪😪
2026-09-10 18:41:48
3
moreenneychambo
Maureenney :
me naona MTU akikutongoza leo akuoe hata mwezi usiishe😆
2026-08-30 14:53:40
3
dayan4821
🏵dayan🏵 kidoti🏵 :
tunakuelewa kaka yaani daah ndo ninacho pitia sasa
2026-08-22 10:55:47
5
princes.store58
princes store :
Daaaah kaka kunywa soda popote ulipo 🥰
2026-08-22 10:15:39
5
ceco205
CECO :
ndo kilichonitokea tumeachana miezi miwili kabla ya ndoa na mwezi mmoja akaoa mwanamke mwingine😭😭 nateseka mpaka sasa 😭😭 sababu ilikuwa hivo hivo ugomvi wa kila siku 😭😭 asee watu kuweni makini sana
2026-09-11 09:04:06
1
i_am_tiara42
I_am_tiara :
Kweli kabisa
2026-08-22 10:45:33
1
lovellyqlrweyemamu
lovelly HKL rweyemamu :
wanift waniulize mm nimebk moja
2026-10-04 15:11:33
1
jess.trizah
Neema :
my situation
2026-10-06 17:46:36
1
kadadaa77
Kadadaa♥️🫂 :
Nmetambulishwa juz na jana nikamfuma kalala na mtu mwingine cmtak tena mm🙌🙌🙌💔💔💔
2026-08-24 03:33:18
4
kabea_knows
kabea_knows :
mm walinipandishia mahari
2026-09-03 13:14:54
2
user7474614925129
vumilian kawonga :
tupo kwenye brokiana 😁😁😁
2026-08-24 05:57:47
1
To see more videos from user @cley15_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About