@king_noely: #Love

king_noely
king_noely
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 09:15:59 GMT
883607
104617
1659
2760

Music

Download

Comments

nemacsy
Drama Queen_027 :
alooooooo unajua ww ni last born
2026-09-11 15:52:31
0
kulwawilliam301
Madame :
anakumbatiwa mwingine Raha nasikia mimi😁😁😁😁 hii Dunia ngumu sana
2026-08-22 18:34:00
363
userjujuwazimbwejr
Jujuwazimbwejr♥️ :
nimegundua mm na mme wangu tunahitaji mume
2026-08-23 18:56:18
303
jannehjanny
janneh janny :
my yesterdays situation
2026-09-10 08:18:11
0
mama.brayden6
mama Brayden :
sijui niweke whatsastatus mchaga wangu nimkumbushe kua kuna kubembelezwa sio kutafuta ela tu
2026-08-22 10:08:53
227
user6298034478336
💮mrs R🍀 :
kuna kinasisi tukinuna tunafukuzwa kama mbwaa
2026-08-22 12:25:48
185
blackwa706
blackwa706 :
kuna mm nikinuna naambiw ukiw sawa utaniambia😭
2026-08-23 16:14:59
179
patience78796
vee🦋💜 :
Best actor 🔥
2026-09-10 13:09:58
0
norahwaheriety
mukajuna :
ndoto yang kupata mwaume wa hvi🤣🤣🤣
2026-08-22 12:10:45
166
happy.suzy
Happy Suzy :
Mbona mm sijabembelezwa toka mwez wa 3🥺🥺🥺 Au sipo dunian😳
2026-08-22 17:23:54
43
m...k588
M...+254🇰🇪 :
Najua mnataka kama hawa lakini sisi ndio tuko😂😂😂💔
2026-08-23 16:33:03
59
official.priphina
Official Priphina :
kuna watu wanachezea saliooo😳😳😳 jaman wakat mm nmekopa🥺
2026-08-24 17:54:54
43
user6732598827909
user6732598827909 :
ila TikTok inaweza fanya uchukie mtu uone kama hajui mapenzi🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 01:00:16
27
yoanahkehaaa
@🦋🦋🦋 :
mungu nipee mume Kama huyu🙏
2026-08-22 13:20:14
13
relaxfurniture6
Juddy Relax Furniture :
nyie mnaoita wake zenu mamaaa mnatufanya tujione kama kwenye mahusiano yetu tulikosea kuchagua😂😂😂
2026-08-22 09:37:39
65
missivia
Minister Grace. :
love is beautiful thing, when you watch it from far.
2026-08-23 05:03:25
13
9090_9085
neylay9093 :
ivi kila ndao ingekua hivi daaah ila niswala la muda tuwape mda tu
2026-08-22 19:12:23
8
ticahaa
ge🥰 :
furaha yanguu ni mapenz ya watu
2026-08-24 18:27:47
5
peuline.oguri
Peuline Oguri :
sijui mbona nawapenda bure😂
2026-08-22 20:09:31
7
dee91143
dee♥️♥️ :
Kuna mm sijatafutwa Toka Jan mbaka saiv😳😳😳
2026-08-22 13:17:18
24
mshamumponda
miss choy :
jamn mm ningekaa mpka asubuh angetok kwenda kazin ndo ningenyanyuka
2026-09-02 14:20:31
5
faithmoraa932
favy moraa 💥🥰🫦 :
mapenzi wewe Sisi kwani tulilaaniwa🥰🥰🥰🥰
2026-08-22 09:24:11
31
yonapolepole
Yona :
HUO MUDA WA KUBEMBELEZA LIMWANAMKE NAUPATA WAPI
2026-08-22 20:19:54
27
graceneema577
grace :
alaf kuna sisi tunaachwa mpaka hasira ziishe zenyewe🤣🤣
2026-08-29 09:06:03
6
angellah002
Angel :
kuna wengine tukiingia kwenye mahusiano tuna kuwa funzo kwa wengine 😳😳😳😳
2026-08-22 11:10:23
16
To see more videos from user @king_noely, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About