we jamaaa una chukuaa mdaa ganii ku master hizo conversation 🤨
2026-08-22 10:15:52
14
Charlz🥼 :
Hahaha ww jamaa miyeyushoo sana yaan 😂😂😂😂😂
2026-08-22 11:30:59
9
Bin Seleman🇹🇿 :
wewe Kila siku papa tu 🤣🤣🤣
2026-08-22 15:03:11
3
Carino💋 :
we kilasiku papa tu lazima tuzame deep kwa papa
2026-08-22 09:58:10
3
@𝒎𝒊𝒔𝒔𝒈𝒐𝒐𝒅05 :
ila papa
2026-08-22 12:42:42
3
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu......
2026-08-22 09:32:44
3
MR_I_Dont_Care🤬💥✨✨ :
nakukubali vibaya mno miraji 🔥🔥🔥🔥
2026-08-22 11:13:12
2
abuu hassani :
ILA KAKA mraj unanikosha sana😁😁😁😁
2026-08-22 23:14:23
0
gabinusi brand ♏ :
sababu wew unapenda papa😂😂
2026-08-22 21:34:20
0
J☆BM🎧🌏💥 :
unavyojua kuikazia hyo papaa
2026-08-22 21:04:49
0
Rock city Boy🇰🇪 :
Papa ya gigy je 😂😂😂
2026-08-22 09:25:26
2
xael :
papa wemba😆😆😆😆au papa yupi?
2026-08-22 20:21:11
0
7-8 :
tukae kwenye neno PAPA😁
2026-08-22 19:58:15
0
mamulicious :
🤣🤣🤣 sio kwa papa huyoo
2026-08-22 19:37:01
0
Ollie_my_H :
Basi jamani inatosha kuhusu Papa
2026-08-22 16:17:29
0
brayant mashauli :
kwan kuna papa aina ngapi 😂😂
2026-08-22 23:36:04
0
hekimahalisi3 :
kilasiku papa.....!
2026-08-22 16:33:14
0
Dzz0✊ :
papa huyo mbona wa maajabu sana😂😂
2026-08-22 09:36:47
1
To see more videos from user @page.miraji, please go to the Tikwm
homepage.