@hamadfaki0: Shairi, Ni mila au sheria, washairi nambieni

Hamad faki (Rumada)
Hamad faki (Rumada)
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 09:26:06 GMT
14761
764
9
47

Music

Download

Comments

hamadfaki0
Hamad faki (Rumada) :
hili suali mbona gumu
2026-08-22 09:26:51
1
alonebby_girl2
Bby-alone😘 :
Me mbon km sijaelewa swali ? ili shairi linamaudhui gni? au usaliti?
2026-08-22 10:54:34
1
yussufsule109
Yussuf Sule :
suala lijibiwe
2026-08-22 11:23:51
1
ramarashid625
ramadhan :
jawabu hili chukua,, ramadhan nalileta kuhama usiku desturi,, na wala siosheria hili tumewakuta nalo,, mababu na wahenga wala usijipe hofu,, hili halezi geuka
2026-08-30 06:53:47
1
abarahmaabanushabahamza
HASSDK(MAHERO JR) :
Jibu hili chukua,Hassan nimelitoa... Jibu lisilo shaka, Kaka umeuliza... Ni Sheria au Mila, Mtu kuhama Laila. Kipo wanacho ficha,ndio wanajitia gizani.... Inagemea mazingira ,huwez ama mchana wakat walala na mabox ..... Ila pia wengne wanaficha kunguni wao wasichomeke na jua..
2026-08-22 17:30:57
2
noelwilson863
elinami :
Si mila au sheria ni kaida za waswahili🤣
2026-08-22 09:39:58
1
alonebby_girl2
Bby-alone😘 :
🥰🥰🥰
2026-08-22 10:53:18
0
kado4354
kado :
🥰🥰🥰
2026-08-25 09:34:44
0
To see more videos from user @hamadfaki0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About