@mtoto_wa_maria: ​Wakati mwingine tamaa inakufanya usione baraka zilizo mbele yako, na kuanza kumlaumu Mungu kila wakati. Hivyo unapaswa utambue kwamba, kila kitu kina wakati wake, kwahiyo usilazimishe mambo, kuwa mvumilivu. usilazimishe mambo, kuwa mvumilivu. Maana ​kuangalia vya wengine hakukupi amani, bali kuridhika na ulichonacho ndio utajiri wenyewe. Kwani Tamaa imewaponza wengi. 💰 #furahatemba #catholicismchurch #desire #virallyrics #fyptrend

Furaha Temba
Furaha Temba
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 09:43:49 GMT
110590
12162
72
395

Music

Download

Comments

ericksdaughter4
Erick's Daughter :
nibadili bwana 🙏🙏🙏🙏
2026-08-22 10:15:48
15
user5190868174275
SAD POET :
Karibu nieke status but hizo cartoons 😂🤣😅 No ,my audience is judgmental 😂🤣😅
2026-08-24 18:02:30
10
januarympanzo
J³ :
nyimbo inaitwaje
2026-08-23 19:20:29
1
user8406029871233
Agnes Wandachi :
I love this song, tuwekee yote
2026-09-10 07:46:11
0
queensmile045
Queensmile🥰🧸 :
kwaya inaitwaj
2026-08-23 08:06:48
1
fransikalwambiko
Fransika Lwambiko :
Bwana unibadili nikufate wewe
2026-08-22 13:11:23
0
user6039833603382
user6039833603382 :
Unibadili mim nikufuate wewe🙏🙏
2026-08-22 18:25:36
0
user415757135627
user415757135627 :
unibadl
2026-08-22 17:12:29
0
bintirichard0
bint Richard ❤️❤️ :
ee unibadili niyaache yote🙏🙏
2026-09-04 10:20:51
0
agatha.josephu
jeuli kid :
mungu nakuomba unibadilishe nikufuate wewe 🙏🙏🙏
2026-09-07 18:19:03
0
user192095205076
user192095205076 :
bwana nibariki
2026-09-07 15:21:35
0
user1859196746593
Jozkiddy 037 :
Nikufwate wewe milele
2026-08-24 18:06:06
0
bahariafamily
mazimbo ✨️ bbm ✨️💨💦 :
nibadili mungu wang😭
2026-08-26 18:57:37
0
ashs083
ashs083 :
Amen
2026-08-24 04:49:04
0
8484richard
Richard Richard :
mbona kama huu wimbo unanilenga Mimi kabisa
2026-08-24 16:47:14
1
user94071183108737
helen💕🥰 :
bwana unibadili nikufate ww
2026-09-02 06:21:11
0
r.square799
R Square :
Ehh bwana unibadili mm nikufuate ww Amen
2026-09-02 14:26:44
0
user1729671612539
Brother Kenny💪💪 :
Naomba unibadili Mimi Mungu maana sio poa watu tuna mengii😎
2026-08-23 13:05:12
0
tabuka004
Elitabuka :
❤️❤️❤️unibariki🙏🙏🙏
2026-08-23 12:09:47
0
user1508516961777
kim's girl :
Bwan unibadili
2026-09-13 12:59:42
0
user7710080047005
user7710080047005 :
amen and amen
2026-08-24 17:50:38
1
user380031082259
Mama Tinnia :
niepushe natamaa mungu wangu
2026-08-23 12:37:45
0
bitha746
bithachrispin :
vraiment duniani ina vingi vituko
2026-09-09 05:32:16
0
suzy21891
suzy🇹🇿😇 :
Amina 🙏🙏
2026-08-23 08:02:54
0
To see more videos from user @mtoto_wa_maria, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About