@pascal_mushi12: Ni maziwa yaliyopunguzwa maji na kuongezewa sukari, hivyo huwa mazito, matamu na creamy. Hutumika sana kwenye cakes, ice cream, desserts, chai na vinywaji mbalimbali. 🍰🍨 👉Wewe unapendelea kuyatumia kwenye nini? #CondensedMilk #CookingTips #ChefTips #BakingTips #FoodContent
Kuna mtu nlmuona anaweka kwa juice je n sahihi???😳
2026-08-22 13:45:31
3
mam kingsley👑👑🥰 :
mbon saut insumbua jmn rudia
2026-08-22 09:54:24
1
Nkiyah🍑🥵 :
Cake kama hii Dar napata wapi jmn...msaada
2026-08-22 23:09:11
1
Neylicious🌹 :
Kwenye mzinga wa nyuki ni tamu baalah😋👌
2026-08-22 18:44:12
2
Ms.BINNA_255🇹🇿 :
nitatengeneza nilete mrejesho
2026-08-22 17:19:16
2
live_by_her :
Maziwa kiasi gani na sukari ?? Vipimo
2026-08-22 12:25:19
0
user8247094345061 :
shukran
2026-08-23 18:07:32
0
pk official :
dah Asante kwa somo zuri dear Allah akutunze
2026-08-23 13:42:41
0
Uswahili.kupendeza.pishi Pambe :
Ukiweka cornflour kuna tatiz??
2026-08-22 10:32:35
0
Ben mnyama :
UYU JAMAA ANAJUA BANA KHAAAAA😂😂😂😂😂😂
2026-08-23 14:43:01
0
Estherkiri🤎🦋 :
Kwanini upoteze muda kukoroga,,,Chukua maziwa ya unga,sukari iliyosagwa,butter pamoja na maji ya moto blend for like five minutes unajipatia zako condensed milk saafi
2026-08-23 19:58:07
0
Pascal's Kitchen :
Chef hawezi kutaja condensed milk kikamilifuu😂😂😂
2026-08-22 09:53:02
0
anny janny :
na evaporated milk?? kazi yake
2026-08-23 18:46:26
0
mansab_notification :
usipo weka sukari ukaweka asali
2026-08-22 17:01:33
0
👑Zahra Zahra💞🌹 :
Asante kwa somo
2026-08-23 09:35:10
0
Naah Irunga :
Tamu ukiweka kwa coffee ☕️
2026-08-23 07:42:44
0
Besa Elliot :
tufundishe jinsi yakutengeneza barafu zamaziwa zabiashala
2026-08-22 20:48:05
0
Hasan :
chef nitofaitishie aina ya vitunguu hivi vyekundu na vyeupe
2026-08-23 10:41:41
0
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm
homepage.