@besafe.again: mwanamke na mwanaume walienda kupima na wameona kabisa kwa ndoa. wakati wanaenda walikuwa na furaha sana maana mke alikuwa mjamzito. lakin baada ya kupima mwanamme akakutwa na virus na mwanamke ni mzima. wakakumbushana maagano yao ya ndoa. KUVUMILIANA WAKATI WA SHIDA NA RAHA. Je wewe mwanamke ungemvumilia mmeo.Na vipi mme unetimiza maandiko? KUPATA HIV SIO MWISHO WA MAISHA. besafeagain 👍 #mwanza #katorogeita #tiktokmbeya #viralvideos #tiktoktanzania🇹🇿

Besafe again(kuwa salama tena)
Besafe again(kuwa salama tena)
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 09:52:35 GMT
39681
447
82
16

Music

Download

Comments

rayyantheboss07
Rayyantheboss :
Mume wang mfano bc t naendelea nae litakalo kuwa na liwe sis sote wa mwenyez na kwake tutarejea
2026-08-23 05:44:36
11
aggpius120
it’s mashella💕💕 :
bado ni wangu upendo wa kweli hauchagui
2026-08-23 16:53:20
2
queenrahyl
queenrahly :
nweee subutu naeeendaaaaa naendaaaaaaaa
2026-08-22 11:55:40
6
julieth44597
julieth :
mimi nimemuacha iseee avune tu alichokipanda wanaume tukiwa tunalalamika sisi mnatuonaga wagonjwa wa ubongo mkiyapata mnataka tuwavumilie me nimemuacha kama nikuteseka niteseke tu
2026-08-23 10:05:53
2
user6735556341783
giana 💞💞 :
ningevumilia2
2026-08-22 21:00:27
2
monica39731
Mónica :
mungu naomba nisiongee chochote maana wewe unajua kila kitu changu👋
2026-08-23 12:06:19
1
dr.yassin8
Dr Yassin :
My situation
2026-08-23 09:11:30
0
user9575518036907
Golden :
wakuu iyo picha inamaana Gani????
2026-08-23 13:34:08
0
user5399967569567
Monica Suzi :
siwez kumkimbia maana najua huko nakoenda pia inaweza tokea ila tutafata ushauri na tutaishi Kwa aman
2026-08-22 11:27:25
1
lonner0d
mrs~w@zr@ ~🦋❤🦋 :
siez mtenga kisaa hiii gonjwaa la taifaa ukute me pia ninao bad haujaanza nikulaa ila hiiiii gonjwaa usimcheke mtu kesho kwakoo ivo tu
2026-08-22 18:48:24
0
user86724834883565
Mpoloo :
VINASOMWAJE?
2026-08-22 23:50:06
0
aishaizack
Aisha Izack :
ninayembea mapema
2026-08-22 12:58:40
0
dorah8507
🦋official dorah💜 :
siwez mtenga
2026-08-23 14:39:26
2
user8161661326183
Aisha Mlali2013 :
kwanza nazidisha upendo kw mume wangu
2026-08-23 08:21:12
0
christina.john529
Christina John :
naondoka
2026-08-23 13:13:34
1
benjaminipetro17
Benjamini Petro :
una.mvumilia2
2026-08-23 13:39:42
1
elphace08
user1348561408066 :
kuvumilia2
2026-08-23 13:41:02
1
ibrahimjalua
Ibrahim Jalua :
tuwe waaminifu
2026-08-23 15:48:18
2
girl.toto671
Girl toto :
uyo angekua mume wangu mbona kuanzia apo ningemuonyesh mapenzi na kumtia moyo asikate tamaa kuwa na vvu sio mwisho wa maisha🥰🥰🥰🥰
2026-08-23 19:14:21
0
user9832853741157
sesy ch :
mhhh sin jibu
2026-08-23 18:53:41
0
jemimah4270
jemimah :
nakumbiaa sanaaa nami nkapate mbelee yasafalii tutakutanaa wotee tukiwa wagonjwaa
2026-08-22 11:56:05
0
athuman1997
Gereshi :
aweeeeeee sikia Kwamwezako TU
2026-08-22 20:48:55
0
user114885652735
mafinganbelule :
apo inaitaj guvu zaziada
2026-08-23 05:20:52
0
user0676009279
njozi lucas :
acheni ujinga mbona ayo mambo ni kawaida kwa sasa mbona mnatishana sana
2026-08-22 16:52:39
0
recho.mbise2
Recho Mbise :
hakuna watu wanajua kukinga kama hawa walio nao na haupati hata
2026-08-22 14:44:45
0
To see more videos from user @besafe.again, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About