nini maana ya stendi ya mabasi mnakimbia wamemjengea nani.
2026-08-22 12:40:55
10
chapo :
sioni KATARAMA mama yangu ameachwa mamamaaaa
2026-08-22 12:46:42
5
dulla black :
chalamila yupo sahihi
2026-08-22 17:37:09
7
Nasra Msangi :
nionge kwa nanna gani kiongozi nikae au NI simamame
Nina safari jumapili naenda Moshi nakaanchamazi nimezoea jader inachukua Kwanzia njee Kwangu mpk Boma Leo naambiwa niende sijui mbezi sijui anata zinakua Kona gani yani nasikia hasira bro Acha tuu naomba mungu nisichanganye tuu gar badala ya kupandia la Moshi nikapanda la musoma uko..huyo chamaramila sijui nanan kachemka Sana
2026-08-22 10:32:07
13
Doreen maulah :
jamaniiiiii mgawane ridhiki boda apate , daladala apate, bajaji apate na wengine woooteeee mwenye basi utaamua uzike au usafirishe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 11:19:04
6
CARTOONMC05 :
NIMEKUNJA NNE CINA SHIDA NA MTUU🤣🤣
2026-08-22 19:21:31
3
🇫🇷 france :
kwani magufuli ilijegwa ya nini? stendi ya kupakia na kushusha mnataka kila kona kuwe na kituo cha mabasi watanza ia bwana
2026-08-23 01:24:47
6
ms purity😍 :
Tumwongeze Mshahara mbunge Asilimia 90
2026-08-23 14:06:59
2
msiziloofficial :
watatutesa sana nitoke mbagara mbezi wakati wa kutoka Tanga kuja mbagara mnatuonea sana
2026-08-22 18:08:00
5
Mtume Mbilinyi :
viongozi wanatumia vibaya madalaka
2026-08-24 06:24:53
1
Bertha Tarimo :
haya ni mateso tu wanatupa tusio na kipato
2026-08-23 11:31:38
5
yazoh56 :
hiv kwa hii ctend ilijengwa kwaajili gani...
??? mbn tunaingia kwenye mijadala ya kupoteza muda??????
2026-08-22 19:57:05
8
mussa gorrahdadatius :
na tax na boda boda wao unataka wabebe nini
2026-08-23 11:07:11
2
John Kimario :
twonatak stendi zetwo zifanye kazi
2026-08-23 10:09:49
2
Emmanuel :
waambie
2026-08-22 18:41:43
2
Sixtus Sanga :
ubarikiwe ndugu
2026-08-22 18:52:21
2
Dasse dasse :
changamoto sana inchii hiii
2026-08-23 04:57:03
2
Amosi Changas :
Stand ilijengwa ya nini
2026-08-23 11:30:17
2
DGL :
wizi umerudi upya 😔
2026-08-23 18:44:54
1
Rayyantheboss :
Kumeanz kuchangamka🤣🤣🤣🤣🤣🙌
2026-08-22 19:40:34
2
Lawyers Estate :
Hii ni nchi sio kijiwe kila mtu ajiamulie anavyotaka
2026-08-23 02:21:23
3
lion .94321 :
sawa kabisa
2026-08-22 17:16:48
4
noormkwazu :
daa🤔
2026-08-23 15:19:08
2
assycute :
Mbona airport haiko katikat ya mji mtu anatoka bagamoyo anakuja kupanda ndege airport
2026-08-24 18:27:26
0
To see more videos from user @tanzaniaroadtrip01, please go to the Tikwm
homepage.