@mamakaja2030: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kituo Cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2115, Rufiji Mkoani Pwani leo Agosti 22,2026. Fuatilia mitandao yetu ya kijamii Instagram: @mamakajatz Twitter @mamakajatz Facebook: Mamakajatz YouTube: Mama kaja tz #Mamakaja #kazinaututunasongambele