@dr_masoud: #unitedstates #unitedstatesofamerica🇺🇸 #unitedstates #unitedstatesofamerica🇺🇸 #unitedstates

MTOTO SALAMA+255688259681
MTOTO SALAMA+255688259681
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 10:09:23 GMT
222333
3567
156
736

Music

Download

Comments

emilianadavid3
Emie dav :
Mim napanda hapo juu 😂😂😂😂 siwezi kabisa kukaa
2026-08-22 20:31:49
23
jenahs.collection
Jenah♍️ :
Sasa hujaonesha namna gani watu wajisafishe ili kuepukane na hzo challenges 🤷‍♀️
2026-08-23 06:34:04
12
vellah.beuty
vellah beauty :
Kweli kabisa sikipendo hiki choo
2026-08-22 13:09:50
16
user3870925665416
Prinah 👩‍🍳💙💜 :
mim ni majimaji yenye halufu hadi nikikaa najisikia
2026-08-22 20:15:52
5
pamelah.kwayu
Pamelah Kwayu :
mimi kwenye ovulation badala ya kupata ute wa maji napata ute mzito mweupe peee kama maziwa ila sina miwasho hapo nini??
2026-08-23 05:46:44
3
prt.ammuh
prt.ammuh :
Niseme tyu sijawai kuvielewa ivi vyoo nikiendasehem nikakuta ichi choo Siwezi kutumia napataga shida sana
2026-08-23 09:26:22
4
juliana.mtawa
Juliana Mtawa :
mmmmmhhh
2026-08-22 12:56:46
1
enjo_kabwe
Angel :
Sasa tujisaidie je ?
2026-08-22 12:28:46
2
andjelani66
ANDJELANI :
Sasa tuwe tenafanya kaka yangu nijibu basi please 🙏🙏
2026-08-23 05:49:45
2
aymanorazio
Recho kimaro :
Sasa si utufundishe jaman
2026-08-22 23:33:24
3
user4805140057150
Hayman luckman :
acheni kutudangany
2026-08-22 12:55:24
1
sandramukandori
Sandra Mukandori :
kweli kabisa
2026-08-23 07:38:04
1
herrymummy
herry collection :
mm na hiki chooo sasa nifanyaje
2026-08-22 19:16:20
2
pachaorg201
pachaorg201 :
tufanyeje sasa jamani kwa tulio na vyoo vya hivo???
2026-08-22 17:49:08
2
anna.butiku6
@ANNA 🙏🙏 :
mbon na mm nina changamoto hizo
2026-08-23 05:49:40
1
catherine.pm0
Catherine PM :
solution nini ??
2026-08-23 05:12:47
1
mzungu061
#PIONEER :
hizi choo za kukaa labda walete choo za kulala sasa hizi ni Bure kabisa hazina starehe
2026-08-23 05:28:00
1
user382569003942
linda :
dokta mm niko na hiyo hali hiyo uchafu yote nimeiona alfu ingine nikikutana na mwenzangu nasikia uchungu sana.mpaka natokwa na damu shida nini
2026-08-22 10:39:03
2
user382569003942
linda :
naomba nisaidie nipe namba ya wsp alafu wakati hiyo uchafu ikitoka inatoka na maji hiyo hali inatokea wakati tukishakutana wakati sijaikutana nikosawa
2026-08-22 10:43:20
1
melea.chacha
melea chacha :
sasa tuache kufanya hivyoo
2026-08-22 13:04:53
1
user43687530423653
Totõ la Ñjīpã :
me ndo nachangamot hiyo nisaidie
2026-08-22 12:52:34
1
zuzumutony1
zuzumutony🌹 :
Tushawuli tuwe tunafanya aje Sasa mbonye kwenye nyumba nyingi zimejengwa na hio
2026-08-23 05:06:07
1
zahudia.french
.. :
Vinanitesa sana hivi vyoo🤦🤦miwasho haiishi
2026-08-23 05:51:09
1
user1318221357698
Jesca_p21🌹 :
mm nilimwambiaga mtu Kuwa vyoo vya kukaa vinatusabanishia tuumwe mgonjwa ya ajab akanibishia
2026-08-22 17:52:56
3
user5187788818659
IBRAHIM :
help
2026-08-23 05:57:30
1
To see more videos from user @dr_masoud, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About