@sautiyakanisakatoliki1: 🔴 Kichwa cha Mtakatifu Agatha kimerudishwa kwenye sanduku lake. 🕊️ Catania, Sicily, imeadhimisha miaka 900 tangu masalia ya Mtakatifu Agatha yarudishwe kutoka Constantinople mwaka 1126. Katika maadhimisho hayo, kichwa cha Mtakatifu Agatha kiliwekwa tena pamoja na sehemu nyingine za masalia yake ndani ya Kanisa Kuu la Catania. Ni tukio kubwa lililojaa imani, historia na heshima kwa Mtakatifu Agatha. 🙏🌹 follow @sauti_ya_kanisa_katoliki kwa taarifa zaidi #sautiyakanisakatoliki #kanisakatoliki #tiktoktanzania #tiktokkenya

SAUTI YA KANISA KATOLIKI
SAUTI YA KANISA KATOLIKI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 10:16:47 GMT
563
34
2
10

Music

Download

Comments

edina.joho
Edina Joho :
kwani hapa niko wapi mbona sielewi
2026-08-22 12:49:29
1
user3235325352538
Dany Olmo :
ivi ii inamaana gani kua usijifanyie sanamu ya kuchonga mnielewexhe jaman
2026-08-22 14:32:50
0
To see more videos from user @sautiyakanisakatoliki1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About